Msemaji Mkuu wa Serikali: Kusainiwa Mikataba DP World Haikuwa Siri

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, amesema utiaji saini Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji na Uendeshaji wa sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam, baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni ya DP World ya Dubai kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma October 22, 2023, haikuwa ni jambo la siri.

Akijibu maswali ya Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es salaam, Matinyi amenukuliwa akisema “Nianze na swali la John Marwa kwamba kulikuwa na usiri kwenye shughuli ya kusaini mkataba (Na kwamba kuna waliofika eneo la tukio bila kuambiwa kulikuwa na jambo lipi) , hakukuwa na siri, Watu walipewa mialiko wakiwemo Waandishi ambao walipewa na usafiri kutoka katikati ya Jiji hadi Chamwino na kuwarudisha, walialikwa Viongozi wa Siasa wa CCM na Upinzani, Wazee wametoka Zanzibar wengine, Viongozi wa Dini na Watendaji mbalimbali wa Serikali, halikuwa tukio la siri na TV na Radio zilirusha LIVE matangazo”

“Walikuwepo Waandishi wa mitandao mbalimbali ya kijamii Mimi nilizungumza nao wengine wakanihoji, hotuba ya Mkurugenzi wa TPA ilieleza vitu kwa upana na urefu unaweza kurudi Youtube ukaisikiliza, hakukuwa na kitu cha kuficha, Rais alizungumza, Makamu wa Rais alizungumza na Watu wa DP World walizungumza , hakukuwa na usiri”

“Sina uhakika kama hata kama umekwenda pale haukujua umealikwa kwa kitu gani kwamba utasema kulikuwa na usiri kwasababu umekiona ulichokiona, sidhani kama hiyo inatosha kusema jambo lilikuwa la siri kwasababu limewekwa wazi na kila Mtu ameliona”
 
Kama kweli hawana siri kwenye mambo yao watuaekee huo mkataba mitandaoni tuusome wenyewe, wasituambie una hiki na kile kama vile sisi ni watoto wadogo tusiojua kusoma na kuandika, kwanza watu wenyewe wanaousifia huo mkataba hawaaminiki tena, wote wana mikono michafu.
 
Rubbish
 
Inasemekama mikataba hiyo mitatu ni siri sasa najuliza mbona inasemekana ni ya miaka 30 na hata asilimia imetamkwa na mambo kemkem?
Huo usiri ni upi sasa????
 
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, amesema utiaji saini Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji na Uendeshaji wa sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam, baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni ya DP World ya Dubai kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma October 22, 2023, haikuwa ni jambo la siri.

Akijibu maswali ya Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es salaam, Matinyi amenukuliwa akisema “Nianze na swali la John Marwa kwamba kulikuwa na usiri kwenye shughuli ya kusaini mkataba (Na kwamba kuna waliofika eneo la tukio bila kuambiwa kulikuwa na jambo lipi) , hakukuwa na siri, Watu walipewa mialiko wakiwemo Waandishi ambao walipewa na usafiri kutoka katikati ya Jiji hadi Chamwino na kuwarudisha, walialikwa Viongozi wa Siasa wa CCM na Upinzani, Wazee wametoka Zanzibar wengine, Viongozi wa Dini na Watendaji mbalimbali wa Serikali, halikuwa tukio la siri na TV na Radio zilirusha LIVE matangazo”

“Walikuwepo Waandishi wa mitandao mbalimbali ya kijamii Mimi nilizungumza nao wengine wakanihoji, hotuba ya Mkurugenzi wa TPA ilieleza vitu kwa upana na urefu unaweza kurudi Youtube ukaisikiliza, hakukuwa na kitu cha kuficha, Rais alizungumza, Makamu wa Rais alizungumza na Watu wa DP World walizungumza , hakukuwa na usiri”

“Sina uhakika kama hata kama umekwenda pale haukujua umealikwa kwa kitu gani kwamba utasema kulikuwa na usiri kwasababu umekiona ulichokiona, sidhani kama hiyo inatosha kusema jambo lilikuwa la siri kwasababu limewekwa wazi na kila Mtu ameliona”
Atuwekee KADI ya mwaliko hapa tuisome kwanza ndio tuone ukweli wa hii kauli Tata!

Pili auweke hewani mkataba na kama ike IGA imebadilishwa!
Imeenda hiyo
 
Kadi ya mwaliko haikusema mtu unaalikwa kwa ajili ya kitu gani, sasa hiyo si ni siri au?
 
Kama kweli hawana siri kwenye mambo yao watuaekee huo mkataba mitandaoni tuusome wenyewe, wasituambie una hiki na kile kama vile sisi ni watoto wadogo tusiojua kusoma na kuandika, kwanza watu wenyewe wanaousifia huo mkataba hawaaminiki tena, wote wana mikono michafu.
Kwani IGA mliletewa na nani?
Mwambieni awape na HGA
 
Back
Top Bottom