senegal

Senegal ( (listen); French: Sénégal; Wolof: Senegaal), officially the Republic of Senegal (French: République du Sénégal; Wolof: Réewum Senegaal), is a country in West Africa. Senegal is bordered by Mauritania in the north, Mali to the east, Guinea to the southeast, and Guinea-Bissau to the southwest. Senegal nearly surrounds The Gambia, a country occupying a narrow sliver of land along the banks of the Gambia River, which separates Senegal's southern region of Casamance from the rest of the country. Senegal also shares a maritime border with Cape Verde. Senegal's economic and political capital is Dakar.It is a unitary presidential republic and is the western-most country in Afro-Eurasia. It owes its name to the Senegal River, which borders it to the east and north. Senegal covers a land area of almost 197,000 square kilometres (76,000 sq mi) and has a population of around 16 million. The state was formed as part of the independence of French West Africa from French colonial rule. Because of this history, the official language is French. Like other post-colonial African states, the country includes a wide mix of ethnic and linguistic communities, with the largest being the Wolof, Fula, and Serer people, and the Wolof and French languages acting as lingua francas.
Senegal is classified as a heavily indebted poor country, with a relatively low Human Development Index. Most of the population is on the coast and works in agriculture or other food industries. Other major industries include mining, tourism and services. The climate is typically Sahelian, though there is a rainy season.
Senegal is a member state of the African Union, the United Nations, the Economic Community of West African States (ECOWAS), and the Community of Sahel-Saharan States.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Senegal yazindua mabasi ya Mwendokasi

    Nchi ya Senegal imezindua mradi wa usafiri wa kwanza wa mabasi yaendayo kasi ya umeme (BRT) katika mji mkuu wa Dakar. Katika hafla ya uzinduzi, Waziri Mkuu wa Senegal Amadou Ba alisema kuwa mradi huu ni miundombinu ya kisasa sana, na pia ni uvumbuzi mkubwa. Mradi wa Dakar BRT, unaojivunia...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Africa inahitaji Miradi kama hii ya BRT ya Umeme kama huu wa Senegal?

    Nimeona Senegal wanazindua mradi wa Barabara za BRT ambazo zinatumia Umeme. Yaani kama hiyo BRT ya Dar ila iwe ni mfumo wa kuchaji/Umeme badala ya diesel. Kwangu binafsi naona hii ni miradi ya kipigaji na isiyosaidia watu maskini kuongeza kipato Chao badala yake ni upigaji wa wakubwa. Miradi...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya Senegal kuizuia TikTok, Mtandao huo waenda kujitetea kwa kueleza sera zake na namna ya inavyozuia maudhui yasiyofaa

    TikTok kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeendesha Mkutano wa kuelezea sera zake ikiwa ni miezi michache tangu Mtandao huo wa Kijamii uzuiwe nchini humo Mkutano huo uliudhuriwa na Wawakilishi kutoka vitengo mbalimbali kama Vyombo vya Kutekeleza Sheria, Kitengo cha Usalama...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Senegal yazuia matumizi ya TikTok kwa lengo la kuwazuia wapinzani wa kisiasa

    Mamlaka ya Senegal imechukua uamuzi huo ikiwa ni katika mwendelezo wa kupunguza nguvu ya wapinzani, siku chache tangu kumweka kizuizini kiongozi wa upinzani. Mgogoro wa kuwania madaraka kati ya kiongozi wa Chama cha Pastef, Ousmane Sonko na Rais Macky Sall umesababisha maandamano ya vurugu na...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Senegal: Huduma ya Intaneti yazimwa baada ya Kiongozi wa Upinzani kuongezewa Mashtaka

    Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii. Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kukitafiti kilichofanywa na DP World huko Djibouti, Angola na Senegal namuomba Rais Samia aachane nao rasmi

    Na pia GENTAMYCINE namuomba Rais Samia Suluhu Hassan awatazame upya Wasaidizi na Washauri wake kwani nimeanza kuona anahujumiwa na anaowaamini wakiongozwa na Mswahili mmoja asiyechoka na utajiri mkubwa alionao na pesa alizozificha kwa kuzigawa nchini Malaysia na Cyprus. Kama Angola, Djibouti na...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Senegal: Boti iliyobeba Wahamiaji 200 yapotea kwenye maji

    Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya wiki moja iliyopita. Kundi la misaada la Walking Borders linasema boti hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Mji wa Kafountine, Kusini mwa Senegal...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hali inatisha Senegal kuliko watu nje wanavyojua

    Mzuka wanajamvi! Kuna rafiki yangu msenegali ameenda kwao kumshughikia mke na mtoto wake Visa. Tumewasiliana kwenye Whatsapp anavyonisimulia kwa kweli hali inatisha tofauti tunavyosoma kwenye vyombo vya habari. Mjini Dakar mji mkuu wa Senegal hapaendeki. Mamia ya watu wameuwawa na vyombo...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Senegal: Idadi ya Waliofariki kutokana na maandamano yafika 15

    Hali ya wasiwasi imeendelea baada ya mapigano mapya ya muda wote wa usiku ndani ya siku mbili tangu Mahakama imhukumu kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko (48) ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili. Sakata hilo la Sonko limesababisha Nchi Washirika kutuma ujumbe wa kusikitishwa na...
  10. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Senegal baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa

    Habari wana jamvi. Maandamano makubwa yanaendelea Senegal nzima baada ya kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kulaghai watoto chini ya miaka 21. Awali bwana Sonko ambaye ni gavana wa jimbo mojawapo alikuwa na tuhuma za ubakaji. Pale dada wa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

    Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou. Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma Senegal, funzo jingine kwetu

    Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja." Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja. Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki: Ousumane Sonko sasa yuko huru baada...
  13. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tunaobeza Sakho kitwa timu ya taifa Senegal tuweke akiba ya maneno

    Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu. Tubeze lakini tuwe na...
  14. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Senegal

    Habari, Nchi nyingi zina utaratibu, mila na desturi za maisha. Kutokana na kuzunguka sehemu mbali mbali leo nmeonelea nikuambie yale yahusuyo Senegal (LAND OF TERANGA kama wanavyojiita yani ardhi ya UKARIMU) ambayo ni tofauti kidogo na nchi yetu ya Tanzania..... VISA ya Senegal kwa Mtanzania...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal apanga kubadili Katiba ili agombee Urais mara ya Tatu

    Hii ndio Afrika. Rais wa Senegal Macky Sall amekana madai kwamba Kubadili Katiba na Kugombea awamu ya 3 ni Kinyume na Katiba. Wiki iliyopota Maelfu ya Waandamanaji Waliongia Barabarani kupinga hatua hiyo ya Macky Sall.. Ikumbukwe huyu alikuwa Kiongozi wa Upinzani na aliingia madarakani Kwa...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Senegal: Mmoja auawa katika maandamano ya kuipinga Serikali

    Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko. Imeelezwa kijana aliyefariki alipigwa risasi katika Mji wa Bignona wakati waandamanaji wakipinga Sonko kushtakiwa kwa tuhuma...
  17. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya Kujifunza Kuhusu Soka kutoka Senegal

    Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:- 1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika, 2. Mabingwa wa Kombe la Africa kwa wachezaji wa ndani, 3. Mabingwa wa Kombe la Soka la Beach kwa Afrika, 4. Sadio Mane...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Senegal: Ajali nyingine ya Basi yaua watu 19, ni ya pili ndani ya Januari

    Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Senegal: Mabasi yagongana, Watu 40 wafariki, 87 wajeruhiwa

    Ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ambayo yamegongana katika Mji wa Kaffrine, ambapo Rais Macky Sall ametangaza siku tatu za maombolezo. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali ni kupasuka kwa tairi kulikosababisha basi moja kuacha njia na kwenda kugongana na lingine uso kwa uso...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Senegal: Mwandishi anayeshikiliwa, afya yake yawa tete baada ya kugoma kula

    Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake. Niang alikamatwa Novemba 6, 2022 akidaiwa ‘kufichua habari zinazoweza kudhuru ulinzi wa taifa’. Alifanya mgomo wa kula Decemba 2, 2022...
Back
Top Bottom