senegal

Senegal ( (listen); French: Sénégal; Wolof: Senegaal), officially the Republic of Senegal (French: République du Sénégal; Wolof: Réewum Senegaal), is a country in West Africa. Senegal is bordered by Mauritania in the north, Mali to the east, Guinea to the southeast, and Guinea-Bissau to the southwest. Senegal nearly surrounds The Gambia, a country occupying a narrow sliver of land along the banks of the Gambia River, which separates Senegal's southern region of Casamance from the rest of the country. Senegal also shares a maritime border with Cape Verde. Senegal's economic and political capital is Dakar.It is a unitary presidential republic and is the western-most country in Afro-Eurasia. It owes its name to the Senegal River, which borders it to the east and north. Senegal covers a land area of almost 197,000 square kilometres (76,000 sq mi) and has a population of around 16 million. The state was formed as part of the independence of French West Africa from French colonial rule. Because of this history, the official language is French. Like other post-colonial African states, the country includes a wide mix of ethnic and linguistic communities, with the largest being the Wolof, Fula, and Serer people, and the Wolof and French languages acting as lingua francas.
Senegal is classified as a heavily indebted poor country, with a relatively low Human Development Index. Most of the population is on the coast and works in agriculture or other food industries. Other major industries include mining, tourism and services. The climate is typically Sahelian, though there is a rainy season.
Senegal is a member state of the African Union, the United Nations, the Economic Community of West African States (ECOWAS), and the Community of Sahel-Saharan States.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Senegal imeapa kukata rufaa ya uamuzi wa CAF kuwapoka ubingwa wa AFCON 2025

    Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025 FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao wanaona hauna msingi wa kisheria, upo kiholela na hauna uwiano. FSF inaamini kuna Ukiukaji...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na maamuzi ya CAF kumvua ubingwa Senegal

    Senegali walifanya tukio la aibu mbele ya wageni na dunia nzima. Wakati mpira wa Afrika ukianza kuimarika na kutazamwa na watu wote dunia wao Senegal hawakuona hilo na wala hawakuweza kufikiri nini kinafuata. Mpira ni biashara na hatima za maelfu ya watu unawezaje kufanya blander kama ile...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Senegal wamevuliwa Ubingwa wa AFCON

    https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/sports/football/senegal-stripped-of-afcon-title-after-morocco-win-appeal-5394742
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

    Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa. Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini...
  5. Yesha

    JamiiForums Tanzania Senegal PM proposes tougher anti-LGBT law, doubling prison terms

    Senegal’s Prime Minister Ousmane Sonko has introduced a new bill that would significantly increase penalties for same-sex relations, raising the maximum prison sentence to 10 years. The proposed legislation was sent to parliament this week after cabinet approval, following a wave of recent...
  6. W

    JamiiForums Tanzania CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi wale wachezaji waliopiga picha na mama zao tu baada ya ushindi wa Senegal, baba zao wanakuwaga wapi?

    SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu. Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera. Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake. Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo. Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akiwa na wake zake katika hafla ya kupokea kombe la AFCON

    Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal. Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
  9. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaomlaumu kocha wa SENEGAL ni kundi liloweka mikeka(BETTING )na kumpa mwarabu

    Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani. Ila kwa utafiti wangu kidogo nimegundua wengi waliweka mikeka na kumpa mwarabu,hivyo baada ya mazonge ya mchezo basi wao shutuma zao...
  10. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  11. Adryz

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa hawa vijana hawa, Senegal isingeshinda AFCON

    Hawa vijana wa kigalatia ndo sababu ya kipekee kuwezesha timu ya mpira ya taifa Senegal kuishinda Morocco kwenye Fainali za Afcon na kutwaa kombe. Vijana hao wagalatia ni Eduardo Mendy (kipa) Nicholas Jackson (Mshambualiaji), Antoinne Mendy (kiungo) na Ismail Jakobs (beki). Siku hiyo ya...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa ubaguzi huu bila Senegal kufanya hivi sisi Wafrika, Sisi Weusi tungepata shida sana. Wametuheshimisha.

    Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Senegal wametukumbusha umuhimu wa haki dhidi ya amani.

    Siku zote haki imekuwa ikitajwa kuwa inatafutwa, inapiganiwa. Huwezi kuletewa kwenye sahani. Kitendo cha kupinga dhulma, hatimae kikaleta maridhiano. Na mechi ikaendelea. Wameacha funzo kubwa hasa katika medani za siasa, maalum kwa Tanzania ambao tunapiga kelele za amani bila kujali haki...
  14. Tindo

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Senegal huko AFCON ni kama wa CHADEMA

    Senegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani. Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

    AFCON 2025 Final Preview: Wenyeji Morocco wako tayari kwa pambano kubwa dhidi ya mabingwa wa 2021 Senegal Mchuano wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 unapingwa rasmi leo usiku m,ajira ya saa 4. Wenyeji na waliokuwa vinara kabla ya mashindano kuanza, Morocco, watakutana na mabingwa wa...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sishangai mzungu kuita afrika "bara la giza", ni 2026 lakini waafrika wanafanyiana unyama utafikiri sokwe porini, poleni sana wachezaji wa senegal

    Picha linaanza pale tu wametua airport wananchi wakajazana kuwatishis na kuwaita maneno ya kibaguzi
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea Bissau akimbilia Senegal kwa usalama wake

    Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amewasili nchini Senegal siku ya Alhamisi baada ya kudaiwa kushikiliwa na jeshi wakati wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini mwake, serikali ya Senegal imethibitisha. Katika taarifa, Wizara ya Mambo ya Nje ya Senegal ilisema: “Ndege maalum...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  19. R

    JamiiForums Tanzania IMF yaipongeza Senegal kwa kuimarisha uchumi na kuweka wazi deni halisi la Taifa hilo

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeisifu Senegal kwa kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi wake kupitia mageuzi muhimu, pamoja na kushirikiana na IMF kufafanua na kurekebisha taarifa kuhusu kiwango halisi cha deni inachodaiwa. Kwa mujibu wa msemaji wa IMF, Julie Kozack, akimnukuu Naibu...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal

    Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo vya mwisho vya jeshi kwa serikali Senegal, hatua inayomfanya mkoloni huyo wa zamani sasa kutokuwa na kambi yoyote ya kudumu ya kijeshi kote magharibi na kati ya Afrika. SiasaSenegal Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo...
Back
Top Bottom