Habari zenu,
Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake.
HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya uke ya ndani hiyo ni tabia ambayo si nzuri maana inafanya ile sehemu viji-bacteria vilivyoumbiwa kuwepo pale kuondoka kwahiyo ile sehemu inabaki kama ni lindo ambalo halina walinzi kwahiyo vijidudu vya bacteria na maadui wanaingia muda wowote na wanajinafasi kwa sababu hakuna ulinzi. Wanawake wengi wanapata UTI Sugu sababu kubwa nyingine ni hiyo" Dr Ikrah Abdallah, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Hospital ya Rufaa ya Mkoa Wa Temeke.
USHAURI - WANAWAKE ACHENI KUJISAFISHA SANA, UKIACHANA NA DOKTA KUNA KIHARUFU AMAIZING HUWA MNAKITOA PIA.
Source - Cloudfm