sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

    Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka. Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake. Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala. Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Viongozi wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya vizuri, baadhi ya sehemu hatujafanya vizuri

    Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Usifikiri Akili itakusaidia kila Mahali. Kuna wakati Ujinga unaweza kuwa Msaada

    Ndugu zangu Watanzania, Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Nape Moses Nnauye Katibu Mwenezi wa CCM Mstaafu aliyeongoza Kampeni maarufu ya kujivua Gamba Ndani ya CCM ili Wale walioitwa Mafisadi na waliokichafua chama na kujipunguzia imani na kuaminika kwa watanzania hususan vijana waweze kuwajibishwa...
  4. R_Breazy

    JamiiForums Tanzania Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

    Habari zenyu, poleni na majukumu Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho. 2026 nimerudi ila...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Door Lock ya Bugatti inauzwa $2,000+, ila ni same part iliotumika kwenye Volkswagen ambayo wanauza $40!

    Wacha wenye hela waibiwe. Kuna Youtuber anaitwa Matt Armstrong, amekua aki-rebuild magari mbalimbali ya kifahari yaliyopata ajali au kuharibika kisha kuyauza. Amedeal na Ferrari, Lambo, Porsche, RR, etc na amekua akionyesha step kwa step, kwahiyo gari moja anaweza akatuwekea ata kwenye video...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bonde La Msimbazi Jijini Dar Kuwa Sehemu Muhimu Kwa Uchumi Na Mazingira - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi utaleta mabadiliko ya kweli kwa kubadilisha eneo la bonde la msimbazi ambalo ni hatarishi kwa sasa na kuwa sehemu muhimu kwa...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wakali wa Location hapa ni Makambako sehemu gani?

    Wakali wa location mko wapi Ni eneo maarufu sana hapa Makambako
  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tanapa Nyanda za juu kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji

    Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara ya kupunguza foleni Dodoma ni mpya lakini imejengwa kizamani, hakuna sehemu ya gari kupaki kwa dharura

    Pia soma:TANROADS: Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) haijakamilika rasmi, inatumika kwa dharura
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Kesi ya mwezi mmoja mnasema ichukue miaka miwili. Hiyo Mahakama itaheshimika?

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji George Masaju katika ufunguzi wa wiki ya Usuluhishi Aprili 09, 2026 Wiki ya Usuluhishi, inayofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam tarehe 9 Aprili, 2026, amekemea vikali Mahakama kukaa na shauri kwa muda mrefu. Aidha, Jaji Masaju...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa Arusha kuna sehemu ina pisi kali kuzidi Kelly's lounge?

    Oya Nimekuja huu mji wa arusha kikazi.mwenyeji wangu kanileta hapa kwenye hii bar..wakuu kuna pisi sio za nchi hii. Asante for your attention on this matter.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

    Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania, Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku akizuga kuomba njia apite, kukusalimia, kukusifia, n.k. Utahisi mwili unavibrate na kudhani ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  14. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naskia Songwe wadau wanapoteza sehemu za Siri kwa kuguswa bega. Wadau wa Songwe Kuna ukweli gani?

    https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega baada ya hapo sehemu zako za siri zinapotea. Wadau wanaamini wanajikinga kwa kuvàa rubber band na pin...
  15. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania IT and communication officer, ni muhimili Mkuu wa Taasisi yoyote hasa katika Wakati huu wa kidigitali

    Habari ya wakati huu, IT and Communication Officer ni Mtu wa muhimu sana kwenye Taasisi yoyote hasa katika ulimwengu wa Sasa wa teknoligia IT and communication Officer anafanya Kazi Kama Usimamizi wa mifumo ya komputa, Usimamizi wa mtandao(networking), Usalama wa Taarifa, IT support, Kuratibu...
  16. haszu

    JamiiForums Tanzania Mgongo ni sehemu yenye hisia iliosahauliwa sana kwenye mapenzi

    Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax. we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation...
  17. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya anawaambia watu wahame sehemu hatarishi?

    Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe. Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii. Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
  18. Vien

    JamiiForums Tanzania Laiti kama binadamu hasa wanawake wangeweka reasoning mbele kuliko emotions, je dunia ingekua sehemu salama zaidi?

    Hi everyone, Mara nyingi nimejikuta nikitafakari kuhusu matukio mengi yanayoendelea duniani leo-migogoro ya mahusiano, maamuzi ya ghafla, na hata baadhi ya matokeo mabaya ya kijamii. Nikianza ku-relate na historia pamoja na mafundisho ya dini, kuna kitu kinajirudia mara kwa mara: nguvu ya hisia...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni Dar, je kukaa baadhi ya sehemu kunaweza kushape maendeleo yako?

    Kukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk Ipi Bora?
  20. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Sehemu ambayo haikupi uhuru sio sehemu sahihi

    SEHEMU AMBAYO HAIKUPI UHURU SIO SEHEMU SAHIHI. Maisha mazuri ni yale yanayokupa uhuru wa kuishi vile unavyotaka bila shinikizo kutoka upande wowote wa dunia. Ikiwa katika mahusiano, kazi/ajira au katika maisha ya kila siku kama vile urafiki na familia unapoona hakuna uhuru using'ang'anie...
Back
Top Bottom