Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 198
- 672
1. Hospital
2. Jela
3. Makaburini
Kuwa mtulivu!
2. Jela
3. Makaburini
- Hospitalini utajua afya ni utajiri mkubwa.
- Jela utajua umuhimu wa uhuru
- Makaburini utathamini umuhimu wa maisha.
Kuwa mtulivu!