Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,811
- 7,489
Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma
Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park
Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu
Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali
Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana
Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda
Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma
Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress
Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua