Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,950
- 35,590
Japo tunaelekea huko kwa huu utawala wa tokea kupata uhuru.Leo nchi hii unaogopa watekaji kuliko mungu na kifo.
Maisha ya naijeria ni kama serikali iliyojifia siku nyingi ila maisha yapo yana endelea tu.
Nchi imegawanyika kuanzia kikabira,udini,kitabaka mpaka kimaovu.
Kuna majimbo mengine hata serikali wameshindwa kufikisha huduma wala chochote mpambane wenyewe.
Ugaidi naijeria unashika kasi majimbo kama borno,yobe na adamwa sio pakufikia kabisa.
Sehemu kama kaduna,zamfera na katsina yamekubwa na mashambulizi mengi ya migogoro na matumizi ya silaha.
Tuje Logos hapo yani watu wanaishi kwa uchawi,ufisadi,utapeli,yahoo boy,wizi na kila utakachoona kinaitwa dhambi kipo hapo.
Nchi ambayo mzawa anakimbia nchi yake kwa afrika ni naijeria ndio maana wametapakaa kila sehemu ya dunia.
Naijeria kwa serikali zao ni vikundi vya watu kama ilivyo nchi yetu tunapoelekea na kuelekea tunaposhana umbali tu.
Imefikia steji wanaijeria kupewa viza ni ngumu kutokana na utaifa wao.Ndio maana wengi wanakimbilia mataifa ambayo passport zao watazibadilisha ziwe za utaifa mwengine ili wafanye maisha yao.
Ukifika naijeria jiji kama lagos ,abuja,kano na n.k ila haya niliyotaja ndio majiji makubwa basi ukishangaa ya kariakoo utaona hapo watu wake wanavofanana na umaskini kama wa kwetu japo wetu unaitwa nguchiro.
Wasomi ni wengi ila kazi hakuna,vyanzo vya mapato ni vya wachache na mafanikio ya kutoboa naijeria uchague mungu au shetani.
Swala la kitoweo ni seme ukweli hapa tanzania tuna kila aina ya mifugo ila ukiuliza mtu mmoja mmoja lini umekula nyama anaweza kukwambia wiki iliyopita.
Wanaijeria swala la mboga ni wewe ndio maana wana mwili.
Kama unakwenda naijeria sio sehemu ya kuzurura ovyo ovyo bila mwenyeji au ulinzi.Wale tabia za kuteka na kuomba pesa ndio maisha yao.