sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadili tabia zetu kama binadamu

    Maendeleo ya sayansi na tekinolojia yameua mahusiano ya kijamii. Leo hii kila mtu anatembea na simu. Akiwa anasubiri huduma iwe mahakamani au hospitali anaingia Instagram au Facebook. Hakuna muda wa kumsalimia aliyekaa pembeni yako. Miaka ya nyuma ilikua ni kawaida kugonga mlango katika...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika sayansi yetu iko kiwango kingine kabisa, wazungu wasubiri

    Unakuta huyu ni baba mwenye nyumba wa nyumba uliyopanga.
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, tuendelee kutilia mkazo watoto wetu kusoma masomo ya sayansi au tukomae na kukuza vipaji?

    Habari wadau! Baada ya kimya kirefu leo vidole vimeniwasha nimeamua kuandika thread . Nauliza tu je kuna ulazima kuwasisitiza watoto wetu kukomaa na masomo ya sayansi ambayo ki uhalisia yanaonekana kuwashinda wengi au tukomae na kuakikisha tunagundua vipaji vya watoto wetu ASAP(As Soon As...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya Darasa la Saba?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza "directly" na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya darasa la saba na sio kusubiri mpaka afike kidato cha pili? Yale masomo saba ya...
  5. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  6. Kiburi si uungwana

    JamiiForums Tanzania Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
  7. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Sayansi yashindwa kwanini Afrika haijaathirika na Corona, sawa na nchi nyengine

    Wataalamu wa magonjwa ya kuambikiza Duniani kwa umoja wao wakiri kutofahamu kwa nini nchi za Kiafrika hazijaathirika kwa kiwango sawa na nchi nyengine Duniani. Wataalamu hao wamesema , “ Hali ya ugonjwa wa Corona katika nchi za Afrika hata wao zinawashangaza”. Wengi wamekiri kuwa wakati ugonjwa...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sayansi ya kumpata mpenzi unayempenda

    Tafuta namba ya huyo unayetaka awe mpenzi wako, kwa kuulizia marafiki zake n.k Andika meseji nzuri au tamu ya kuhusu kumlalamikia mpenzi wako ambaye ni 'fake', ili itakapomfikia huyo unayetaka awe mpenzi wako ajue meseji si ya kwake bali imeenda kimakosa. Tuma meseji nyingi za kuvutia za...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wazee ni Hazina , Mkongwe Steven Wassira achukua fomu ya kugombea Ubunge Bunda

    Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya . Mytake : Wassira bado yupo
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  12. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sayansi ya siasa inatutaka wana CCM kuendelea kuomba kura bado hatujashinda

    Mojawapo ya makosa makubwa ya Kampeni na uchaguzi duniani Kote Ni kumu-Underestimate opponent wako. Hili kosa huwa halifanyiki kwenye Siasa tu hata kwenye michezo na kwenye medani za kivita Ni kosa kuu Kati ya makosa makubwa yanayotajwa. Kuelekea October kila mwana CCM anayezungumza anasema...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kila nikivundika mkungu, ndizi haziwi mbivu hadi nipake chumvi au majivu?

    Inakuwaje ndizi zinakuwa zimekomaa kabisa, tena zingine kukomaa kiasi cha kuanza kupasuka lakini nikizikata ili nizivundike ziwe mbivu basi huwa haziivi vizuri, na hata zikiiva basi inakuwa kwa kuruka ruka, yaani inaiva moja chini, kati au juu pasipo mtiririko. Lakini nikiweka chumvi au majivu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

    Mh Rais Magufuli nakusalimu. Nimetoka Magereza hivi karibuni ambako nilikuwa huko kwa zaidi ya miezi minne kwa kunyimwa masharti ya dhamana kwa dhamana iliyokuwa wazi. Mh Rais, nimeona kwenye vyombo vya habari leo kuwa kwamba wale Wabunge waliokuwa wanataka kunisalimia nilipokuwa Magereza...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Hii ni sayansi ya aina gani na nini kinasababisha jambo hili?

    Naweza kusema labda wengi mmewahi kukutana na hali fulani hivi ambayo inastaajabisha kidogo. Je, kuna yeyote anajua nini kisababishi na inakuwaje? anaweza kuelezea kidogo? HALI HIYO IKO VIPI? 1- Kwa maelezo mafupi ni hivi. Kuna muda unaweza kuwa upo katika mishe zako za kila siku kupambana na...
  16. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtu aliesoma sayansi advanced kusomea Sheria chuoni

    Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated areas. Naenda straight to the point Mimi bado mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo Fulani hapa nchini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha umasikini Afrika sio viongozi ila ukosefu wa ujuzi wa sayansi na teknolojia

    Jibu rahisi la waafrika wote ambalo wamepewa na mabeberu, la kwanini Afrika ni masikini, ni 'ubaya na kasoro za viongozi wetu'. Lakini jibu sahihi ni ukosefu wa ujuzi wa kisayansi na teknolojia, kuzalisha na kutengeneza bidhaa kwa kutumia malighafi na madini yetu. Kwa sababu sio rahisi kupata...
  18. Waterbender

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

    Mwanzo 11 mstari wa 4 Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii upinzani Tanzania bado sana. Wanatakiwa wajifunze siasa sio propaganda uchwara. Siasa ni sayansi

    Natoa hii hoja sababu inasikitisha sana kuwa Chama cha siasa ambacho kina umri zaidi ya miaka 15 au zaidi lakini bado hakijitambui na wala hakitambui kufanya mikakati ya siasa. Na hapa nalenga hichi chama cha Chadema ambacho sasa ni chama kikuu cha upinzani. Inaonyesha dhahiri kuwa wao mikakati...
  20. Chibudee

    JamiiForums Tanzania Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba afya ndio mtaji wa nchi kujiendesha

    Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba AFYA NDIO MTAJI WA NCHI KUJIENDESHA; Ndio, yaani inabidi huduma za afya zitolewe bure na zigaramiwe na serikali. Serikali za dunia mpaka sasa zimeshuhudia hasara kubwa sana kutokana na janga la CORONA, kwamba watawaliwa hawafanyi kazi...
Back
Top Bottom