GE2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

GE2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,421
Lissu.jpg

​
 
Sasa naelewa kwa nini Wapambe wa Magufuli wanachoma moto ofisi za CHADEMA..
Wachome tu moto ofisi zetu kama itamasaidia lile NUNDU la kichwani, kupungua kuvimba , vinginevyo.. Hiki KIMBUNGA kinawasomba kweli safari hii..
Wavimbe Wapasuke
#NIYEYE

#LISSURAIS2020
 
Nataka nicheke lakini naogopa TCRA.
 
Back
Top Bottom