sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Kupata utajiri siyo suala la bahati, ni sayansi kama zilivyo sayansi nyingine

    Kupata utajiri siyo swala la bahati au ujanja ujanja, bali ni sayansi, kama zilivyo sayansi nyingine. Ili moto uwake unahitaji kupata hewa ya oksijeni, hiyo ni sayansi, kadhalika kuna vitu vinahitajika ili mtu uweze kupata utajiri, hiyo pia ni sayansi. Sayansi ina sheria na kanuni zake, ambazo...
  2. Faana

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Sayansi tujuzeni hili

    Kuna radi kali sana imemulika hapa mjini Morogoro muda huu, ikafuatiwa na mlio mkali wenye kushitua kama bomu, sauti hiyo kali imetikisa madirisha makabati nk. Swali: Mawimbi ya sauti yanawezaje kusababisha vibrations kali kiasi hicho cha vioo kujibamiza?
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda atoa wito kwa Wabunifu kujisajili ili kushiriki Mashindano ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu maarufu kama (MAKISATU) kwa mwaka 2022. Ameyasema hayo leo 16 Februari 2022 wakati akiongea...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Februari 11: Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi

    Katika miongo kadhaa iliyopita, Mataifa na Jumuiya za Kimataifa zimefanya jitihada nyingi katika kuwatia moyo na kuwashirikisha Wanawake na Wasichana katika Sayansi. Wakati ulimwengu unaendelea kukabiliana na COVID-19 na janga la Mabadiliko ya TabiaNchi, ushiriki kamili wa Wanawake na Wasichana...
  5. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kero: Wakurugenzi wa Elimu Wilaya kujifanya wana shida zaidi na walimu wa Sayansi

    Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa. Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake. Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yafaidika na maendeleo ya China katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Mwezi Oktoba mwaka jana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Bill Burns alisema kuwa, Shirika hilo linaanzisha vituo viwili vikubwa, kimoja kikilenga China na kingine teknolojia zinazoongoza. Hatua hiyo iliashiria kuwa, kiongozi huyo anaamini kuwa, uwanja mkubwa wa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
  8. THE SPIRIT THINKER

    JamiiForums Tanzania Elimu ya anga, Sayansi na Teknolojia

    NASA KUWAPELEKEA WANAANGA MAHITAJI MBALIMBALI HUKO ISS Nasa wameichagua tena kampuni ya space x kuweza kuwapelekea wanaanga mahitaji yao mbalimbali huko kwenye kituo cha uchunguzi wa anga iss kati ya Tarehe 21-24 mwezi huu desemba Mahitaji hayo ni kama nguo , vyakula na maji pia bila ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mtoto kufa baadae kuonekana hai tuiitaje

    Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka minne iliyopita. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe amesema mtoto...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally Kakulwa mwanataaluma ya sayansi ya siasa asiyejua siasa

    Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu. Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa. Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania

    Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona. Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe. Source: ITV habari ============= Katibu...
  12. safuher

    JamiiForums Tanzania Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

    Habari yako ndugu msomaji. Ama baada ya salamu na kumshukuru mungu naomba nianze kwa kusema kwamba MIMI NAAMINI MATATIZO YA KURITHI YANATIBIKA(hii ni imani yangu) Baada ya kusema hivi naomba niingie kwenye mada yangu ya upara ama kupoteza nywele kichwani hasa ule wa kurithi wataalamu wanauita...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya sayansi na teknolojia ya China ni manufaa kwa dunia nzima

    Na Fadhili Mpunji Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Idara ya takwimu ya taifa ya China, Wizara ya sayansi na teknolojia, na wizara ya fedha ya China, inaonyesha kuwa mwaka 2020 fedha zilizotumiwa na China kwenye mambo ya utafiti na maendeleo zilikuwa ni zaidi ya dola bilioni 378 ambalo ni...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Jengo hili liko Moscow lilijengwa 2009 mbunifu akiwa Oleg Carlson

  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sayansi ya kuishi vizuri na watu

    Hata kama una pesa nyingi au mafanikio makubwa jaribu kutumia hii mbinu mojawapo ili uweze kuishi vizuri na watu, kujishusha na kujiweka sehemu ya jamii yao. Jaribu kuwakopa pesa ndogo ndogo wale wote uliowazidi kipato au mafanikio ili wao wajue huna tofauti nao n.k
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fursa zipatikanazo katika Sayansi na Teknolojia kwa wanawake na wasichana.

    Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya jinsia ya kiume pekee. Nyamizi ni binti kutoka katika jamii ya kisukuma, aliishi na kulelewa na...
  17. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sayansi na Teknolojia

    Habari wanajamii forum wenzangu, leo tutaangalia sayansi na teknolojia na vijana katika kuleta tija katika taifa letu. Karne hii tumeona vile mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia yakizidi kuongezeka, na kadri siku zinavyozidi ndivyo vitu mbalimbali vinazidi gunduliwa. Kati ya uvumbuzi mkubwa wa...
  18. Dead Man

    JamiiForums Tanzania Sayansi ya upendo, jinsi mtu anavyoweza fall in love na wewe

    Watu wengi wamekuwa wanatamani kupata nafasi ya kupendwa na watu wanaowapenda, wahitaji, lakini wamekuwa hawajui njia za kufanikisha hayo yote. Leo nataka nikupe siri moja. Ili umvutie mwanadamu yeyote yule basi sharti ujue udhaifu wake uko wapi. Udhaifu mkubwa wa mwanadamu uko katika mwili...
  19. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sayansi ya Kilimo irudishwe na ifundishwe shuleni kama somo la Msingi kwa kila Mtanzania

    Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza. Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari. Somo la Sayansi KILIMO ninaamini Wengi wetu haswa kaka na dada zetu walilisoma ingawa kwa uchache ila...
  20. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania If you cannot question it, it's not science, It's propaganda

    Mimi nimechanjwa chanjo ya P fizer muda mrefu wakati hapa kwetu tukihubiri malimao na matangawizi, Tuliimba pambio wote za ujasiri wakati huo kuwa beberu hafai na chanjo hazifai Leo bila aibu na Haya wana CCM tumegeuka ghafla na kuanza kudance ngoma ya mwenyekiti wa chama Nimeandika uzi huu...
Back
Top Bottom