SoC01 Fursa zipatikanazo katika Sayansi na Teknolojia kwa wanawake na wasichana.

Stories of Change - 2021 Competition

dadakinara

New Member
Sep 26, 2021
1
2
Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya jinsia ya kiume pekee.

Nyamizi ni binti kutoka katika jamii ya kisukuma, aliishi na kulelewa na Shangazi yake mjini Dar es Salaam baada ya wazazi wake kufariki. Alianza Elimu yake ya msingi na na kufanikiwa kumaliza vizuri na kuchaguliwa kujiunga na elimu ya Sekondari.

Alipokuwa kidato cha nne mtihani wa Taifa ulifanyika na alikuwa na hofu sana juu ya masomo ya Sayansi kwani alikuwa akiogopa na kuamini kuwa masomo hayo ni kwa ajili ya jinsia ya kiume tu.

Hii ilitokana na maoni na mitazamo aliyokuwa akipatiwa akiwa nyumbani. Alikuwa akikatishwa tamaa a kuambiwa yeye masomo ya Sayansi hayawezi asome masomo ya sanaa. Nyumbani kwa Shangazi yake yeye ndiyo alikuwa mtoto wa kike na hii ilimpelekea yeye kufanya kazi zote za nyumbani jambo ambalo lilifanya awe na muda mchache zaidi kwa ajili ya kujisomea.

Hilo halikimvunja moyo walankumkatisha tamaa Nyamizi. Aliendelea kusoma na kuomba msaada kwa wenzake dhulenibna alihakikisha anapata muda wa ziada wa kujisomea akiwa shuleni kabla ya kurudi nyumbani kukutana na kazi za nyumbani.

Mtihani wa kidato cha pili uliwadia na Nyamizi akafanikiwa kufanya mtihani wake na matokeo yalitoka na kuchaguliwa kuingia kidato cha tatu A mchepuo wa Sayansi. Nyumbani aliambiwa Masomo ya Sayansi hatayaweza aende akaombe kubadilishiwa na mwalimu ili asome darasa la mchepuo wa Sanaa.

Hakufanya hivyo alijipa moyo na kushikilia alichokiamini kwa kuendelea kuwa katika darasa la Sayansi mpaka alipofanya mtihani wake wa kidato cha nne na matokeo yalitoka akachaguliwa kwenda kusoma mchepuo wa Sanaa “HKL” Nyamizi alimaliza kidoto cha sita na kufanikiwa kufika elimu ya juu ambako alisoma masomo ya Utawala na Usimamizi.

Alirudi mtaani kupambana na soko la ajira, katika kutafuta ajira na nini afanye aliamua kuanza kutafuta fursa mbali mbalia ambako rafiki yake alimshirikisha juu ya fursa ya kuwa balozi wa wanawake katika Teknolojia hakuogopa alijipa moyo ataweza na akaiendea hiyo fursa. Fursa ambayo ilimfanya azidi kupenda Sayansi na awe na morali ya kujifunza kuhusu Sayansina akajikuta anavutiwa na utengenezaji wa maudhui mtandaoni na anaendelea kujifunza ili kufikia ndoto zake.

Siku zote usiogope wala usikubali kuwekewa mipaka ya wapi unaweza kufika au kipi unaweza kufanya na kipi hauwezi. Kuwa tayari kuziona fursa na kuziendea. Maisha ni safari ndefu ambayo Mungu pekee ndiye ajuaye hatima yake. Ishi kutimiza ndoto zako na si kuangalia watu wanakwambia ufanye nini.

Pongezi kwa Nyamizi kwa kutokukata tamaana kuchaguz kuziona fursa zilizoponkatoka Sayansi na Teknolojia , hii ni kuwatia moyo mabinti na wanawake wote kujifunza kutoka kwa Nyamizi kuziona fursa na kuziendea na kutokuchagua kukatishwa tamaa na kuwekewa mipaka juu ya kile wanachoweza kufanya.
 
Kaoleweni mkazae watoto na kuwalea ndio jukumu lenu, jukumu la kutafuta ni la wanaume.

BS

Back
Top Bottom