Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
5,975
7,731
Wakuu,

Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi.

Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni utundu. Pesa ni kilainishi. Tafuta pesa, na kuielewa sayansi ya mapenzi ova.

Kitandani ni mwendo wa kutach tu kitandani hatulimi. Kijana jifunze kucheza na smart.
1623129601807.png

 
Kwenda gym kubeba chuma au kufanya mazoezi ni kwa faida ya afya yako sio umfanyie mtu!though yanasaidia sana kwa wanaume kuwa na nguvu za kutosha kumridhisha mwanamke kitu ambacho ni sifa ya kuitwa mwanaume!pete tu na pesa havimtoshelezi mwanamke
 
Akili yako muda wote inawaza utoto tu kwahy tusiweke miili yetu sawa acha ufa
Mapenzi ni utoto, ndio maana unaitwa baby nawewe unamwita baby kwa hivyo ili yanoge yanatakiwa yaelezewe kitoto. Kama huwazi utoto kwanini unamwitamwita baby, si uache mwite jina lake la ukoo.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom