Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 542
- 649
Shule zinafundisha kwamba kijana wa kiume anayefikisha umri wa kubalehe ni kawaida kuota ndoto nyevu, na akiamka hujikuta tu amelowa.
Hii ni sayansi inayochochea vijana wa kiume kuzini na mapepo wakiwa wamelala. Kijana anaona msichana mzuri, amevua nguo na kisha analala naye akiamka anachukulia jambo hili kirahisi akijua ilikuwa ndoto, na anapata kukumbuka elimu ya biolojia aliyofundishwa kwamba ni jambo la kawaida.
Hii sio kawaida kabisa sababu hapa pepo anayekuja kama msichana baadaye huwa sehemu ya maisha ya huyu kijana na baadaye bila kujua, suala la mahusiano ama tendo la ndoa huweza kuwa na shida kwake.
Ni mlango rahisi sana wa kupita kwa pepo mahaba na kuwa sehemu ya maisha ya vijana.