Wanaomwamini Freeman Mbowe na Chadema yake, watafika wamechoka sanaa! Huyu ana malengo tofauti na anachokihubiri

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye!

Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya, akasaidiana na JPM kuipopoa Chadema! Hata yeye mwenyewe Mbowe alipokuwa kizuizini, Dk. Slaa aliunga mkono utawala ule! Wamepambana na kujizoazoa, 2025 inakaribia Mbowe anaonekana kumrejesha Dk. Slaa! Bila kujali watu waliumia vipi na maamuzi ya Dk. Slaa! Tuamini nini au ulikuwa mkakati wa siri baina ya wawili hawa!

Na labda kuna ajenda ya siri kati ya watawala na Dk. Slaa, kinyume chake tutaanza kuamini kwamba Mbowe hayuko siriasi na azma ya wanachama!

Anawapeleka mahali wakikalibia kufika anawabomoa tena!
 
La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye! Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya, akasaidiana na JPM kuipopoa Chadema! Hata yeye mwenyewe Mbowe alipokuwa kizuizini, Dk. Slaa aliunga mkono utawala ule! Wamepambana na kujizoazoa, 2025 inakaribia Mbowe anaonekana kumrejesha Dk. Slaa! Bila kujali watu waliumia vipi na maamuzi ya Dk. Slaa! Tuamini nini au ulikuwa mkakati wa siri baina ya wawili hawa! Na labda kuna ajenda ya siri kati ya watawala na Dk. Slaa, kinyume chake tutaanza kuamini kwamba Mbowe hayuko siriasi na azma ya wanachama! Anawapeleka mahali wakikalibia kufika anawabomoa tena!
Hujui hata matumizi ya AYA! Ndio maana zile za CCM zinaendelea kutawala
 
Kwa Hili la DIPIWEDI tupo tayar Mbowe ataupoteze atupeleke popote kama msimamo wake ni kua mkataba ni mbovu na sisi tunasema hivohivo mkataba mbovu #Bandari is not For Sale
 
Back
Top Bottom