The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
Barabara ya Kiluvya Madukani mpaka Makurunge imeachwa bila matengenezo licha ya eneo hili kupata wakazi wengi miaka ya hivi karibuni.
Shida kuu:
1. Miundombinu mibovu: Barabara ni ya udongo wa mfinyanzi. Wakati wa mvua inakuwa na mashimo na inateleza sana. Magari yanakwama.
2. Ufumbuzi wa muda...
Habari ni gani wakuu zangu?
mimi ni baba pia, nina watoto wawili wa kiume umri ni miaka 4 kwa 5. huwa sikai nao wanakaa kwa mama yao... so siku zalikizo ndo huwa wanakuja kwangu kunitembelea... napo wanakaa siku mbili au tatu halafu wanarudi kumalizia likizo kwa mama zao.
safari hii nikaona...
Maisha ni muvi.
Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba.
Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa.
Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
kazi zetu hizi zinatufanya tuwaze sana na pia kusoma mawazo ya wengine sana sana ili kujenga parten fulani...
katika baadhi ya paradox nilizowahi kuzifanyia utafiti wa kina ni pamoja na hizi mbili:
moja ina hoji kwamba je mimi nikiwa nina meli yangu nimeinunua. kisha baada ya miaka kadhaa...
Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping.
Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane.
Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO
Jensen Huang...
Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo
Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko
Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka.
Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake.
Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala.
Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...
Angalia wanavyofanana sana,
Katika kutoa insight ya makala ninayoandaa kuhusiana na kuku nitagusia hili swala ambalo limeshafanyiwa uchunguzi na wanasayasi wengine.
Ukimuona kuku ujue umemuona T.Rex mdogo Kwa kuthibitisha hili licha ya mfanano wao wa muonekano, chunguza tabia zakuku,
Kuku ni...
Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini.
Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza
Madereva wa Tax Mtandaoni tunanyonywa sana hasa Kampuni ya Bolt inakata kamisheni 25.6% katika kila safari jambo inaumiza sana na ukizingatia kutokana na uhaba wa ajira vijana wengi tumeamua kujiajiri lakini...
Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana
Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa
Laana haiji kwa njia moja inakuja kwa namna tofauti sio lazima njia iliyomlaani fulani ndiyo itakayomlaani na yule...
Unakuta mtu kwenye issue za sports anavaa KANZU na koti la suti.
lazima uonekane miyeyusho tu
Maintain positive first impression itakusaidia sana vaa Smart popote pale unapokwenda.
Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika.
Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
Ndiyo maana tunasema utekaji, mauaji yote yanafanywa na mamlaka za juu. Kama Warioba anaweza kuwa intimidated kwa kutoa ushauri mwema, je wengine wadogo! si ndiyo maana mauaji ni mengi na vifo vya 29 October, 2025 vitakuwa in terms of millions!
All in all washauri wa mama ndio wanamshauri vibaya
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Kipindi vita vya iran vinaanza tulishangilia sana, niliamini, sisi hatuhusiki, kumbe ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji.
Ona sasa achana na bei ya mafuta kupanda, Kuna hii timua timua makazini, acha tu, bado bidha kupanda na kazi imesimimama, polepole mtafikiwa, nyie chekeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.