sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Inaonekana Serikali imeumizwa sana na Documentary ya CNN

    Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea. Imejaza watu mitandaoni kumshambulia mwandishi wa CNN utadhani aliandaa peke yake, serikali ilidhani CNN ni Channel 10 au ITV na Larry Madowo ni Millard Ayo...
  2. Damaso

    Jeshi la Polisi mmefeli sana

    Taarifa zilizotolewa kuhusu madai ya “mwanajeshi wa Marekani” kukamatwa Tarime zimeibua maswali mazito kuliko majibu. Kutaja jina lisilo la kawaida kama Onkuri Ongeta. Pamoja na picha zinazomuonyesha mtu huyo akiwa amejipamba kwa pete kama Mganga wa Kienyeji na mavazi yasiyoendana na mafunzo ya...
  3. Cute Wife

    PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  4. Lord Denning

    Tatizo la kuongea sana: Serikali yazidi kujichanganya. Muliro alisema AI, Msigwa asema picha zilizopigwa kwa simu

    Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola. Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
  5. Cute Wife

    PostGE2025 Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu

    Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya Tanzania, Msigwa ameanza kuvipongeza kutokana na kazi nzuri wanayofanya kwa weledi na umakini mkubwa na...
  6. Genius Man

    CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita

    CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita. #D9 kitawaka sana gen z wanahasira.
  7. Pakome

    G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  8. L

    Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na kutoa taarifa zenye kuleta taharuki ,kuchafua watu, taasisi, Nchi,jumuiya na hata vyama vya kisiasa...
  9. Genius Man

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  10. G

    Jana Nilikuwa NMB kwakweli mtandao wao ni mzito sana nimeamua kutoa Hela zangu zote niweke akiba zingine

    Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system . TAhadhari ni muhimu
  11. masai dada

    Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

    Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba. Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa. Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa. Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi. Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi...
  12. tonicimmobility

    PostGE2025 Naona damu ya Polepole imeanza kuwalilia, na itawatesa sana hamtakaa mpate raha

    Mambo yameanza kuchangamka! Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
  13. Genius Man

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  14. Bawabu wa pili

    KERO Barabara za Ludewa zimesahaulika sana, mvua kidogo tu tayari hazipitiki na leo magari yamekwama huko

    Wakazi wa Luponde halmashauri ya mji wa Njombe na watumiaji wa barabara ya Njombe - Ludewa wameiomba serikali kufanya marekebisho ya muda mrefu ili kuondoa adha ya magari kukwama wakati wa kipindi hiki cha mvua. Wito huo umetolewa na baadhi ya wakazi wa Luponde akiwemo Colbina Mligo ambapo...
  15. Mhaya

    Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  16. stakehigh

    Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

    Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
  17. Kizibo

    PostGE2025 Maandamano ya 9D yamekaa kimtego sana

    Nimekaa nikatafakari, nikagundua haya maandamano ya 9D ni myego mkubwa sana kwa pande zote mbili, serikali na Gen Z wote. 1 Gen Z tusipoandamana kama tunavuohamasishana mitandaoni, au serikali ikifanikiwa kuzima au kuzuia hayo maandamano, maanake Gen Z tutakuwa tumepoteza pambano...
  18. Daniel Aloyce Daniel

    Natamani sana kujua tabia za wadada wa kisambaa

    Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana. Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa...
  19. Scared

    Mlioweka Pes UTT Amis kazitoeni haraka sana mnaenda kulia

    Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt amis hivyo katoeni pesa haraka sana wazee mtakuja kuninikumbuka
  20. Zee la madawa

    Hawa wajinga wanaukosea sana uislamu, wanataka tuonekane wote ni wajinga

    Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu? Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wa CCM, sasa wanaongeza na kueneza chuki za kidini? Uislamu ni dini ya HAKI. Uislamu ni dini ya...
Back
Top Bottom