The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Habari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.
Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na...
Nimeona leo waziri mkuu akitoa maelekezo mepesi kwenye jambo zito hilo jambo ni zito tena zito kweli mnasema kweli elimu bila malipo na serikali kila mwezi inapeleka pesa mashuleni pesa ambazo matumizi yake na mambo mengine yanaitaji uwazi sasa niwape changamoto tu hizo shule za serikali si zipo...
Kuku angekua mkubwa kama n'gombe lazima tungeshika adabu kwasababu wana ubabe na ukorofi mwingi usio wa lazima.
ukiwaweka kuku pamoja lazima waonyeshane uwezo wa kupiga na anayepiga zaidi lazima aheshiniwe na bila hivo ata kua ana bonda tu wengine na muda mwingine ana bonda bila sababu.
kwa...
Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.
Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.
Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85...
Pale Kibiti Boys Secondary School Mwalimu Mkuu na baadhi ya Walimu wao fimbo imekuwa ni njia ya malezi, hili suala imekuwa too much.
Kuna muda Wazazi na Walezi wa Wanafunzi wanaosoma hapo walitoa maoni ya kukerwa na jambo hilo lakini hakuna hatua zilizofanyika, kila kitu kinaendelea vilevile na...
Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol.
1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum)
2.VAT (Value Added Tax – 16%)
3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara)
4.Petroleum Development Levy
5.Railway Development Levy
6.Import Declaration Fee
7.Anti-Adulteration Levy
Jumla 40%...
Tumekubaliana aje anipikie pilau na nyama, nishanunua kila kitu hapa namsubiri mpishi afike lakini wapi.
Na anajua jana usiku sikula kabisa, huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers?
Goddamn sasa hivi vitu nitavifanyaje?
Mwana JF yeyote ajae tutoe kitu basi
Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam.
Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam
Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa...
Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao
Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa
Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa
Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
IMAGINE
Mwaka 2022 nilikuwa huko kigoma vijiji vya karibia na mpaka wa tz na burundi panaitwa kalinzi, huko ni mwendo wa baridi tu, kuna nanasi za kutosha. Sasa bhana kwasababu ya ugeni wangu sikuwa bado na mpenzi nilikuwa kuku mgeni. Kule bhana kuna watusi wa kumwaga wamepanda hewani weusi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka...
Shalom akhbar!
Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini?
Simple.
Wanawake ni Viumbe wa hisia kuliko logic, na dini inatumia hisia zaidi kukamata watu kuliko logic, kwasababu ukitumia logic ndogo...
Natafuta pesa kwa bidii ila nachokipenda kwenye maisha yangu hata nikipata pesa sitotumia na wengi sababu kwa week pekee napokea simu ya baba yangu tu hakuna usumbufu
Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja.
Kwanza kabisa, Yesu...
Mkuu wa Mkoa Dar, Albert Chalamila (Chala boy) huyo anasema Tangu asikie ukishikwa bega nyeti zinapotea amekuwa makini sana, maana hana mali nyingine zaidi ya hizo zaga.
Soma pia
~ Katambi: Madai ya kuibiwa Nyeti ni uzushi
~ Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya...
Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili.
Kiukweli Wananchi tunateseka...
Anonymous
Thread
barabara
bomba
gongolamboto
maeneo
mbili
njia
sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.