sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Yohimbe bark

    PostGE2025 JWTZ imeonyesha udhaifu mkubwa! Ilikuwaje mkaruhusu vifo vya Wananchi mnaotakiwa kuwalinda (kama Jeshi la Wananchi)?

    Kwa jeshi hili siku tukijichanganya kwa Burundi tutachapika vibaya mno, ndani ya masaa 8 nchi yote itakua mikononi mwa Burundi. Wanajeshi wetu mnachoweza nikukamata vijana waliovaa sare zenu basi Msije kujichanganya kwa Burundi au Rwanda. Nimemaliza.
  2. S

    Hili la Mange Kimambi kuwahusisha Wazanzibari na mauaji ya bara limenihuzinisha sana

    Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu. Tukija kwenye mada , Leo mange kimambi amepost habari kua askari wa kizanzibari wamefanya mauaji ya cold blood. Siungi mkono...
  3. L

    Wanatubembeleza sana tukapige kura kuwachagua. Tukishawachagua wanatupiga.

    Viongozi wa kisiasa wa Tanzania ni wema sana kablana wakati wa kampeni na kupiga kura,hua wanatubembeleza sana tuende tukapige kura za kuwachagua,lakini mara tu tukishawachaguaa thamanj yetu inaisha,wanatugeuka,wanabadilika wanakua wakali,wanatutukana,wanatuteka,wanatupiga na kutuua. Hatuwezi...
  4. Criss

    Kwa ukatili ulichofanywa na polisi hadharani, ninamashaka kama Waliotekwa wanaweza wakawa bado wapo na roho zao

    Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana. Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika. Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma. Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi...
  5. Carlos The Jackal

    Tujipongeze sana Vijana tulioandamana , Wakati alipouliwa Mmoja wetu, tulisonga mbele, Hii Spirit ni zaidi ya Enzi za Uhuru, Mapambano yanaendelea

    Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa. Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
  6. A

    CCM wahuni wana bahati sana

    Baada ya haya kutokea nimegundua CCM na genge lake hakuna kitu wananchi tungesema tuwashambulie si dhani kama kuna yeyote ambaye angepona ila walitukana maskini sisi hatuna chochote cha kujisaidia nacho basi acha tuwaite mashujaa ila Next time watakufa wengi sana
  7. S

    Nimemchukia sana huyu mtu na hakuna zuri analoweza fanya likanifanya nimkubali au nisamehe

    Hakika nimechukia huyu mtu vibaya sana na hakuna zuri wala jema analoweza fanya likafuta majeraha au uovu wake katika katika kichwa changu na kamwe siwezi kumsamehe..Nimemchukia sana. Pia, nimewachukia sana wale wavaa sare wanaotumika na huyu mtu na sitaki urafiki kabisa na hawa watu kwani...
  8. Ngengemkenilomolomo

    GE2025 Hayati Magufuli alitukosea sana

    Wakuu, Yani katika vitu Magufuli alitukosea sana kama watanzania ni kuua upinzani kitu ambacho kinafanywa kwa muendelezo mpaka sasa. Kitu kingine ni kumteua Samuya kama makamu wake asee hapa alitukosea mnooo. Alikua Rais mzuri aliyependwa na kila mtu lakini katika uchaguzi mkuu wa 2020...
  9. Stuxnet

    Rais Samia achana na Mchengerwa kwenye baraza jipya, anakuharibia sana

    Najuwa kuwa ni mkwe wako na una msifu kuwa ana kifua kikubwa lakini uwezo wake kiakili (IQ) ni mdogo. Mwaka jana alitumia mbinu zile zile za Magufuli za mwaka 2019 kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na huo uchaguzi ndiyo uliozaa No Reforms No Elections. Kama CHADEMA wangetendewa haki basi...
  10. figganigga

    Leo radi zinapiga sana, Mwanangu wa Miaka 3 nimefurahi aliponiuliza kama ni mabomu

    Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi. Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana. Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia...
  11. mwehu ndama

    APPRECIATION: Asanteni sana JWTZ walau kwa hicho kidogo mlichofanya

    Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza. Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji. Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi...
  12. Pulchra Animo

    Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

    Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
  13. N

    GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

    Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia. Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
  14. B

    Ujumbe muhimu sana kwa watanzania wote

    01 November 2025 SIKU YA 4 : MAANDAMANO UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu. Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa...
  15. mwehu ndama

    CDF Nkunda ndio kikwazo chetu

    Taarifa zinasema , watu zaidi ya 700 wamekwisha kupoteza maisha..Jeshi Gani linaruhusu mipaka yake inavamiwa, Askari wa kigeni wanaingia na kuua raia wanaotekeleza wajibu wao wa kikatiba..! Kama ni hivi basi CDF hafai
  16. thegreat1510

    GE2025 Hapa MUHIMBILI, Miili inayoletwa ni mingi mno, watanzania wengi sana wanauawa

    Nipo Hospital ya Muhimbili hapa tangu tarehe 29 October , nimeshuhudia magari yakisomba maiti nyingi mno. Siku ya leo kwa mfano nimeshuhudia magari zaidi ya sita yamejazwa miili ya ndugu zetu waliouawa. Baada ya kuona kama watu wanahesabu idadi ya magari hayo wakabadili njia , mengine...
  17. K

    Amani siyo kuwa na pesa bali ni kuwatendea wenzako Haki. Huyu mama mwisho wake utakuwa mbaya sana

    Huyu Mama hata kama mamlaka yatamtangaza kuwa Rais hatakuwa na Amani maishani mwake,na wenda binafsi yake itabidi ajiingize kwenye maisha ya vileo ili kujipa amani ya mda fupi Kusababisha watu kufa kwa ajili yako kwa uzembe ni kosa kubwa sana, atajikuta maisha yake yote anaishi ndani ya...
  18. The Mongolian Savage

    Kifo cha Ali Kibao kiliniuma sana.

    Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana. Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za wengi ambao hawakuwa wanamfaham. Sura yake ilionesha innocence sana. Lakini badala ya kutufariji...
  19. comrade_kipepe

    Mkimrudisha huyohuyo asietakiwa itakua mbaya sana

    Naona huko Instagram GEN Z wanadai kama watafosi arudi huyuhuyu kizimkazi basi nao watakuja na #MO29SEASON2 wanasema hiyo itakua mbaya sanaa. Chukueni hatua huyo mtu hatakiwi. KITUKO 👇👇👇👇
  20. Richard

    GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
Back
Top Bottom