sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Binadamu sisi ni wabaya sana

    Kama hauna ulazima wa kujipost status usifanye ivyo . Ficha Maendeleo yako ,Tabasamu lako linawaumiza watu wengi. Watangazie shida tu usioneshe mafanikio hadharani Dunia imebadilika Orderly Coplo Wa week 😎.
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ile adhabu shuleni ya kuvalishwa kibao cha Swahili Speaker ilikuwa jau sana

    Leo bhana, katika pitapita zangu za hapa na pale, nikaangukia shule fulani, Basi bana, nikakutana na mwanafunzi kapendeza zake, lakini shingoni kavaa bango kubwa limeandikwa “Swahili Speaker”. Aisee! Hapo hapo akili ikafanya flashback kali moja kwa moja nikarudi enzi za 2003 hadi 2009...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kitu kimoja kikubwa sana ambacho Kinafanya watanzania wengi kuupenda uongozi wa Rais Samia

    Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza Kwa list fupi: 1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni 2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote 3. Kupunguza uhasama –...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa Tanzania ni rahisi sana kuamini utapeli wa forex trading?

    Imenishangaza sana kuona kwa Tanzania YouTube Podcasts za kitapeli za forex trading ndizo zinakimbiza kwa views!
  5. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke amenishangaza sana

    Nimekaa nae weekend hii aisee Hajui kabisa kupika vingereza kibao Inawezekanaje mtu Hajui kupika kama Kwa ufundi mkubwa hivi
  6. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini mandhari na uzuri wa asili kwa kuuangalia tu au kusikia sauti za uzuri huo unamkosha sana binadamu? Majadiliano na atheists Ep5

    ‎kwa dakika moja fikiria hii: umesimama kwenye fukwe ya bahari jioni Jua linazama. Rangi nzuri za machweo ya jua zinaenea angani kama picha iliyochorwa na mkono wa ustadi usio wa kawaida. Moyo wako unashikwa na kitu kitu ambacho huwezi kukieleza kwa maneno hisia ya kwamba unashuhudia kitu...
  7. mkenya wa kova

    JamiiForums Tanzania Tunafanya urembo wa nyumba yako kwa gjarama nafuu sana.

    Tanafanya finishing za nyumba kwa gjarama nafuu sana , moulding decorations, ceiling disign na skimming .tupo dar es salaam na tunafika mikoani bila shida kabisa. 0765069058 WhatsApp.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

    Unakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula. Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga. Weka na K Vant pia hapo
  9. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Kumbe Nyama ya Kenge ni kitoweo kitamu sana!

    Mzuka wana jamvi ? Watu wengi kutokana na Kenge jinsi alivyo ukiwaambia kuwa ni mtamu na kitoweo kizuri wanabisha , ila kiuhalisia Kenge Nyama yake ni tamu sana kwa Supu , Nyama choma nk . Ukijaribu kula siku Moja utatamani kila.siku ule.
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasemaga Magari ya Nissan yamekaa kizee zee sana. Ona Nissan Z!

    Nissan Z ni bonge la Sport car, kwa waliojipata. Nasema waliojipata kwasababu hii inafaa kua second car, hauwezi itegemea kaa gari ya familia au ya kupigia misele daily. Hizo kwenye picha za juu ni latest gen ya 2022+ ila kama budget-wise unaweza kucheki gen ya nyuma yake Z370 Z Hii 370Z...
  12. Stability

    JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana ila kila mdada mwenye makebo makubwa lazima awe na besti yake huyo mwembamba ambae ni kama waziri wake wa ulinzi na mawasiliano

    Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh! Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wageni Milioni 27 Wamerundikana South Africa, Idadi Hii ni kubwa sana, Naunga mkono Watimuliwe

    My Take Haiwezekani watu wameharibu Nchi zao harafu wanakimbilia Nchi zingine nako wakaharibu. Watu mil.27 ni wengi sana iwe takwimu za kweli au za kupika ila Watimuliwe. Nendeni Nchi za watu kidogo sio kurundikana kama ni kwenu
  14. Malaki

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kiwanda cha Namera Gongo la mboto ni mbovu sana

    Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze. Mvua zimenyesha sasa imekuwa kero kubwa sana. Pia soma ~ Ndejembi: Tuchukua hatua kwa haraka, kuna maeneo vifusi vimetelekezwa...
  15. haszu

    JamiiForums Tanzania Nimekua kivutio sana kazini

    Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini. Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Niweke Mlango wa Nje? Inanitatiza sana

    1. Mlango wa mbele ni mkubwa 2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali 3. Sometimes nafikiria milango ya chuma, ile steel security door. Ina show nzuri sana, Lakini vipi kutu na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ameporomoka sana kisiasa. Hana ushawishi tena. Hata Kigoma walishamkataa

    Amebakiza makunyanzi tu usoni. Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji
  18. Nkulu wa nchito

    JamiiForums Tanzania DUNIA YA AJABU SANA

    Habari wafanyakazi jamani mimi kuna hii tabia nimeiona kwa mke wangu kama wiki tatu zimepita ninapokula mbususu nikimuweka dog style anausogeza mkono mkono wangu karibu na mlango bahari wa hormuz wakati huo mashine imeingia kunakotakiwa sasa nawaza au wahuni washapita wamemfundisha hiyo tabia au...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Leo Simba ana uwezekano Mkubwa sana wa kushinda, nitawachambulia kwanini,

    Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba. Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge.. umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa hadi mara ya sita zote mfululizo kichwa. hapa unajua kabisa chance ya kupata upande wa mwenge ni...
  20. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Chelsea inasikitisha sana ilitakiwa iwe ya 16 hafi jana

    kwa huu msimamo hii timu inapaswa iwe chini sana. kwenye wanasema number don't lie lkn hapa namba zinadanganya
Back
Top Bottom