The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana.
MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ?
Vitu vimewekwa...
Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok.
Nilichogundua wanawake wa kikenya wazuri sana, kuanzia ladha, muonekano,kuvaa na mengineyo.
Kwanza hawapendi kujichubua...
Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo.
Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA maisha yake yote.
Ukiwa broke huyo mtoto WA kazi gani labda ukiwa tajiri au umefanikiwa afadhali hapo...
Bei/Price TSH 167,000,000/=
Call/WhatsApp +255 747 999 927
LAND CRUISER PRADO TX
Year: 2022
Engine: 2TR-FE
Mileage: 42,644Km
Fuel Used: PETROL
Transmission: AUTOMATIC
Sunroof
Back Camera
Push To Start
Cruise Control
100% Duty Paid
Swap Deals Available
Zero Registration Cost
Kwanini nyumba zinazopauliwa kwa mabati mfano wa vigae ni chache sana?
mabati haya aina ya vigae maarufu kama versatile
fatilia uzi huu nitashare maoni yangu kama una maoni yako yalete pia
0743 257 669 fundi kupaua
Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii huhusani Facebook likiwa na nukuu ambayo inatoa ijumbe kutoka kwa raisi wa Uganda yoweri museven amesema kuwa afrika ina wajinga wengi sana.
Katika chapisho hilo ambalo limewekwa kwenye mitandao ya kijamii lina nukuu ya ujumbe...
Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii.
Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
Kwa masikitiko makuu
Mwanaume ukipewa kula na ukishiba ondoka zako
Ndugu zangu, dada zetu wa siku hizi wamekua sugu sana yale maeneo hata usugue papuchi kiasi gani hakika unakua kama hakuna ulichokifanya huku wewe ukiwa hoi taabani,
1: kuna kila sababu ya kuwaza na kukubaliana kwamba asilimia...
Mzuka wana jamvi ?
Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa member ngluli wa Jf GENTAMYCINE na Rais wa Marekani Donald Trump ni watu ambao wanafanana sana tabia .
1. Wote hata uwe rafiki yake vipi na uwe unamsifia siku ukimkosoa na kupishana nae basi lazima akutweze na kukuona hauna akili...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu,
Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi.
Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
Natambua kuna majukwaa mbalimbali ya kuandika chochote kulingana na maudhui ya jukwaa husika
Chitchat ndio jukwaa halisi la ku chill kwa kuandika mada za utani, vituko na kupunguza stress za maisha na sometimes Kuipumzisha akili baada ya mitifuano ya hoja kwenye majukwaa ya wajuvi na wajuaji...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 baada ya Mahakama ya rufaa kanda ya Dodoma kutengua zuio dhidi ya chama hicho kutofanya shughuli za siasa, Heche ameeleza walivyosikitishwa na namna Jaji Hamidu...
Wakuu,
Nimewaza sana, hapa kuna kitu nilikua nakitafakari nikajikuta nimeingia deep sana nikachukua remote control nikaweka mziki fulani wakati naendelea kusikiliza nikahamisha mawazo nikaingia kwenye nyimbo ya G Nako ft. CHIN Bees & Nikki Wa II - AROSTO
Sasa nikaruka moja kwa moja kwenye...
Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
===========
Kujenga wakati unasomesha ni ngumu na kiuchumi zaidi ni vyema kijana aanze kujenga kwanza alafu ndio aanze kusomesha
Wakuu poleni sana na vita vya Iran na Israel via Marekani
Siyo poa wakuu wangu hii vita imeniathiri sana pakubwa ukizingatia mimi ni middle business man ambae kwa kiasi kikubwa nategemea mizigo kutoka China kisha na niuze kwa mlaji wa mwisho so hali siyo nzuri sana. Ila hivyo hivyo tunapambana...
Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni.
Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida.
Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.