Ila wanangu baadhi mnatoa boko sana!

Ila wanangu baadhi mnatoa boko sana!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,426
Reaction score
860,147
Natambua kuna majukwaa mbalimbali ya kuandika chochote kulingana na maudhui ya jukwaa husika

Chitchat ndio jukwaa halisi la ku chill kwa kuandika mada za utani, vituko na kupunguza stress za maisha na sometimes Kuipumzisha akili baada ya mitifuano ya hoja kwenye majukwaa ya wajuvi na wajuaji

Lakini wanangu eeh hata kama lengo ni kuchangamsha genge tuandike vitu quality basi😀

Hata vitu haramu kama gongo na mjani navyo vina ubora wake na vina wataalam wake wa kuthibitisha ubora

Natambua sometimes tunaandika tukiwa tumetoa lock na kudhani tumeandika mapoit tupu😆 .. Ila medulla ikikaa sawa watu huzikimbia post zao🤣

Shukrani kwa Moderator huwa wanatuokoa sana kwa kuyafuta maboko yetu lakini nitoe rai ya kutafakari kabla ya kupost ili kuwapunguzia kazi hawa ndugu zetu

Ukinimaindi poa tu najua jiwe limetua penyewe😀🙌🏿🏃🏿
ed1a24d0-bff3-47ab-aea2-01d03512f9fa.jpeg
@marginalgarment_.jpeg
 
Thanks JF AI💪🏿
The forum discussion, initiated by Mshana Jr, addresses the issue of low-quality posts in the "Chitchat" section. While acknowledging Chitchat is meant for lighthearted content, jokes, and stress relief, Mshana Jr urges users to maintain a certain standard of "quality" in their contributions. He suggests that some users post regrettable content, possibly while impaired, and later regret it. He thanks moderators for cleaning up these "nonsense" posts and encourages users to think carefully before posting to reduce the moderators' workload. The subsequent replies include a self-deprecating joke by Mshana Jr and an unrelated "rest in peace" exchange.
 
Back
Top Bottom