Una mtu?
nakaziaNaunga mkono hoja, ila manyumba yenye paa ndefu hivi sijui nani katudanganya ni mazuri
Ila kuwa na watoto mpaka watatu kwenye nyumba za kupanga kibongo bongo, moja kwa moja ushajitia kwenye mtihani mzito kama kipato ni cha kutegemea ajira tu🤔Kwa kweli huu ushauri ni wa kuzingatia, hasa kama unataka watoto wakasome shule za mabasi ya njano. Hizo ada kuanzia January, April, July na Sept sio poa, ukiwa nao watatu tu jasho litakutoka.
Acha tu mangi, watu wanachukua nyumba nzima, vyumba vitatu, kodi mpaka 1m per month, watoto shule za mabasi, kila mmoja 3-5m p/y. Kama hukujenga kabla mtihani mzito huo bwashee.Ila kuwa na watoto mpaka watatu kwenye nyumba za kupanga kibongo bongo, moja kwa moja ushajitia kwenye mtihani mzito kama kipato ni cha kutegemea ajira tu🤔
Kabisa MkuuWazee sina cha kuwa elezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
Huyo mtu unaemuulizia ni mimi enhee how do you say?Una mtu?
umenikumbusha enzi hizo tulitumia huu mtego kukamata njiwa
Unataka kusema kila mada JF unaichukulia serious sana😁Hata selewii nifanye nn??