sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    PostGE2025 Ukiona mtu anatetea sana Serikali hii, jua kuna asali ilipita kwake. Mfano Majizzo

    Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia. angalia hapa Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge. Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
  2. Fbn

    Dar es salaam kuna watu walitamba ila walikuwa wa kawaida sana

    Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao. Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni iliyokuwa na jina lake, ilikuwa maeneo ya kuanzia Urafiki, Manzese, Kagera, Tandale na Mabibo...
  3. Mto wa mbu

    Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

    Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao. Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti...
  4. CodeX

    Nani anamfahamu mmilikiwa wa Cheche Times anaeneza sana chuki za kidini. Naombeni Tujuzane

    Nimekuwa nikiingia Facebook na Instagram nakutana na machapisho sponsored yenye chuki za kidini ambayo ni taarifa za kueneza chuki za kidini au upotoshaji. Mtu huyu wa Cheche Times analipia kabisa matangazo katika majukwaa ya Instagram na Facebook. Posts zake ni kashfa zaidi za...
  5. K

    Dunia inaenda kwa kasi Sana: Akifa mbunge wa CCM, GEN Z wanashangilia lakini Akifa GEN- Z anazikwa kishujaa na Kwa maandamano

    Nini kimetokea siku hizi. Akifa Mbunge wa CCM Hawa Gen Z wanashangilia Sana lakini Akifa GEN- Z mwenzao wanasikitika na wanaenda kumzika kishujaa kwa maandamano. Fundisho: Wabunge wa CCM mjitafakari hali ni mbaya Sana, GEN-Z hawataki hata kuwaona mkivaa hizo T-Shirt zenu za Chama
  6. Waufukweni

    PostGE2025 Majizzo: Naomba sana tusapoti wasanii wetu, ni vijana wa kimaskini

    Mkurugenzi Mkuu wa EFM na TVE ambaye pia ni mdau mkubwa wa Muziki haswa wa Singeli, Majizzo amewaomba Watanzania kufuta kauli na Msimamo wa kugomea kusapoti Wasanii wa Tanzania kwa sababu eti walijihusisha na Siasa kwani wale ni watoto wa kimasikini ambao wanapambania ndoto zao hivyo kuacha...
  7. M

    Wabongo bado sana kwenye biashara ya usafirishaji na uchukuzi

    Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana. Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
  8. Bawabu wa pili

    Nguvu kuubwa akili kiduchu, serikali ijichunguze sana

    Kwa vita ipi na mapambano yapi kutumia nguvu yote hii kulipia maroboti yaje kujaza comment session, kama mtu ni mzuri na ni mwema haihitaji hata kutumia nguvu kubwa kuelezea uzuri wake. PLO Lumumba aliskika akisema. If you do something and you spent an hour explaining what you have done then you...
  9. Genius Man

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo kama wa Gen Z asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana
  10. The Father of All

    PostGE2025 Pongezi Rais Samia Suluhu

    Leo dunia imejua mama anavyopendwa na kuheshimiwa. Kwa hesima, tumekaa ndani tena kwa adabu kuliko wafungwa. Tumesherehekea uhuru bila uhuru kama wafungwa kwa sababu ya kumtii na kumpenda tukiogopa kumuudhi. Tumekubali kugeuzwa wafungwa ili kuonyesha heshima na uzalendo wetu. Tumetulia hata...
  11. Agent-47

    Inawezekana hasara ya mapato ya Serikali kwa D9 ni kubwa sana kuliko ile ya MO29

    Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed. Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29...
  12. stakehigh

    PostGE2025 Dar ni mji wa kufikirisha sana, imagine leo hakuna vichaa wala ombaomba walioonekana barabarani

    Ila Dar ni mji wa maigizo sana, imagine leo hakuna vichaa wala ombaomba walioonekana barabarani
  13. L

    PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  14. M

    PostGE2025 Kumbana Mange kumepunguza sana kasi ya maandamano

    Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano. Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa maandamano aliyopanga yeye, na hii Mo 29 kaplay big part, tuliona namna alivyoweza kuunganisha watu...
  15. Fbn

    Ukipiga simu sana leo D9 App ya true call inakwambia kuna mtu ameangalia namba yako wakati ufahamu hiyo namba

    Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako. Na kwa nini ili jambo limeanza leo
  16. Scared

    Wakuu njooni UN tupo wengi sana

    Tupo wengi sana ofisi za UN Leo lazima kiwake yaani litakufa jituuu
  17. Mad Max

    Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

    Nisiwachoshe. Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara. Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8. Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus...
  18. Miguel255

    Yanayoendelea Tanzania yanafurahisha sana

    Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote? Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku nzima kudadeki na mtutu🤣🤣 kuna namna naiona kodi yangu ikiliwa kihalali. Unajua mwanzo hawa maaskari...
  19. The Burning Spear

    Nimefurahi kumwona huyu chali akiwa hai maana maneno yalikuwa mengi sana

    GT Mwamba huyu hapa engine ya maandamano M029 kutoka kimara
  20. Q

    PostGE2025 Mo29; Ole wake atakayeandamana. D9; Nimetumwa na Rais niwaombe msiandamane. Kwa kinyonge sana

    Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee. Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka...
Back
Top Bottom