Muhudumu wa bar ananivuruga sana

Muhudumu wa bar ananivuruga sana

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,718
Reaction score
18,687
Wakuu poleni sana na vita vya Iran na Israel via Marekani

Siyo poa wakuu wangu hii vita imeniathiri sana pakubwa ukizingatia mimi ni middle business man ambae kwa kiasi kikubwa nategemea mizigo kutoka China kisha na niuze kwa mlaji wa mwisho so hali siyo nzuri sana. Ila hivyo hivyo tunapambana.

Vita hivi siyo poa kabisa and this time Marekani wameingia cha kike mzozo ikiendelee hivi uchumi wa taifa na wangu kwa ujumla utayumba sana.

Pamoja na kwamba vita vinaendelea ila bado haijanizui kulamba bia mbili tatu ila sasa hivi nimepunguza bia kwamba nafanya mix ya bia na nyagi ili nifikie level mapema kabisa. Castle lite za cane mbili au tatu na nyagi kisichana pembeni yake ingawa pia nyagi zimekuwa fake mno ila hivyo hivyo nitapambana nayo tu inanipaga mzuka sana

Basi bhana kuna bar yangu huwa napenda tu kwenda kwa vyovyote vile kwani Ina watu wastarabu halafu mmiliki wake ni kigogo wa serikali katka idara fulani hivi

Hapa majuzi boss ameleta vyombo vipya kabisa wahudumu wapya vyuma kweli kweli, mara nyingi mimi sishobokei wahudumu ila this time huyu hapana ni mzuri kwa kiasi chake kiasi kwamba watu wanajazana kuja kuwapiga sound

Nimefanikiwa kupewa namba demu hashobokei bia wala misosi sana akitumia ni bia 2 flying fish basi anakushukuru anatumia iphone macho mawili 😆kiashirio kwamba kuna muwekezaji mkubwa lazima na mimi videmu vinaotumia iphone nawagusa tu kisha nasepa zangu
Naachi vumbi la hatari

Naomba kuwasilisha
 
Wakuu poleni san na vita vya Iran na Israel via marekani
Siyo. Pouwa wakuu wangu hii vita imeniadhiri sana pakubwa ukizingatia mm ni middle business man ambae kwa kias kikubwa nategemea mizigo kutoka china kisha na mm niuze kwa mlaji wa mwisho so hali siyo nzuri sna. Ila hvyo hvyo tunapmbna
Vita hivi siyo pouwa kbsa and these time marekani wameingia Cha kike mzozo ikiendelee hv uchumi WA taifa na wangu kwa ujumla utayumba sna

Pamoja na kwamba vita vinaendelea ila bado haijanizui mm kulamba bia mbili tatu ila sas hv nimepumguza bia kwamba nafanya mix ya bia na nyagi ili nifikie level mapema kbsa .castle lite za cane mbili au tatu na nyagi kisichana pembeni yake ....utaona picha chini hapo ingawa pia nyagi zimekuwa fake mno ila hvyo hvyo ntapambana nayo tu inanipaga mzuka sna

Bas bhna kuna bar yangu Huwa napenda tu kwenda kwa vyovyote vile kwani Ina watu wastarabu alfu mmeliki wake ni kigogo wa serekali katka idara fln hv

Hapa majuz boss ameleta vyombo vipya kbsa wahudumu wapya vyuma kweli kweli .mara nyingi mm sishobokei wahudumu ila these time huyu hapana ni mzuri kwa kias chake kias kwamba watu wanajazana kuja kuwa piga sound .nimefanikiwa kupewa namba demu hashobokei bia wala misozi sana akitumia ni bia 2 flying fish basi ankushukushukuru anatumia iphone macho mawili 😆kiashirio kwamba kuna muwekezaji mkubwa lzm na mm videmu vinao tumia iphone nawaguza tu kisha nasepa zangu
Naachi vumbi la hatari

Naomba kiwasilisha
Hiki ulichokifanya ni kosa kisheria za mtandaoni. Jirekebishe.
 
Mwanangu nimecheka sana
😄 vyombo vishashuka 😄

Ova
Ngoja waje wale jamaa watasema huyo ni MSHANGAZI PROMAX. 😊😊😆

NB. Kuna mwanangu wale wanakata pombe Kali gudugudu aisee now ini limevimba , macho ya NJANO SANAAAAAA, MWILI una ganzi hapati usingizi uchovuu, MWILI kukosa nguvu.. Bora kunywa kistaarabu

Oya min -me , wife kasema niache pombeee 😊 😁
 
Ngoja waje wale jamaa watasema huyo ni MSHANGAZI PROMAX.

NB. Kuna mwanangu wale wanakata pombe Kali gudugudu aisee now ini limevimba , macho ya NJANO SANAAAAAA, MWILI una ganzi hapati usingizi uchovuu, MWILI kukosa nguvu.. Bora kunywa kistaarabu

Oya min -me , wife kasema niache pombeee 😊 😁
Kunywa bia tu mkuu , uache pombe ili iweje sasa?
 
Back
Top Bottom