Sometimes wanawake wanasitahili heshima, kubeba mimba miezi tisa halafu mtu bado unajitoa ufahamu namna hii sio sawaAsee,hivi tumbo la mwanamke kuwa hivi nini sababu?
Wanakata stimu sana mjue
Huyo kajifungua bado tumbo halijarudi kiufasahaAsee,hivi tumbo la mwanamke kuwa hivi nini sababu?
Wanakata stimu sana mjue
si mlisema kikubwa awe na kishimo auAsee,hivi tumbo la mwanamke kuwa hivi nini sababu?
Wanakata stimu sana mjue
Mkuu wangu kyagata si hofu yangu wewe kuwa salama ila ni masikitiko yangu muda mrefu kukuona bado haujakubali uumbaji sio wa kwangu wala wewe ila wa kwake jalali .Asee,hivi tumbo la mwanamke kuwa hivi nini sababu?
Wanakata stimu sana mjue
Hii nimecheka sana 😂Vitu vyanguu
View attachment 3579007
Sema neno moja tu mkuu ebu....🤣Mmh.
Nnalo basi. 😃Sema neno moja tu mkuu ebu....🤣
Koh koh koh.Kitu cha maana sana kwa vijana msio faham....😋
Hapo ukimuweka, unasugua hilo tumbo kwa juu... basi mtetemo wake sio poa kwenye father of the mother style...😜
Nani anajua ile kama gari inapita kwenye barabara yenye rasta, yaani mbavu flani amazing...🥰