haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,559
- 3,810
Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini.
Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama wateja, ila sipati picha ni namna gani wangeomba namba. hakika uzuri hauzoeleki, kila mara watu wanakushangaa sana
Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama wateja, ila sipati picha ni namna gani wangeomba namba. hakika uzuri hauzoeleki, kila mara watu wanakushangaa sana