Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,469
- 11,247
Aisee ninauhakika kuwa ata CCM na majeshi Yao Kuna funzo kubwa walilipata kuhusu binadamu.
Kabla ya MO29 watanzania walihamasishana mitandaoni kukiwasha ila watawala waliwachukulia poa. Kwa nchi kama US inayofanya security analysis kamwe wasingepuuzia.
Serikali walipitisha majeshi mitaani wakifanya mazoezi kujiandaa na uchaguzi, lengo la wanajeshi na polisi kufanyia mazoezi mitaani ni kuogopesha raia.
Viongozi kina Chalamila na Piter Magoti walikuwa wanajiropokea kuwa kamwe hakuna wa kutoa pua barabarani.
Kina Manala na Steve Nyerere walikuwa wanabeza,na kutukana kuwa hakuna wakutoa pua kuandamana.
Amiri jeshi mkuu ndo akamalizia na vitisho kuwa hakutakuwa na nywinywi Wala nywinywinywi.
Ila pamoja na vitisho vyote bado raia waliandamana walikiwasha vibaya mno. Toka Tanzania iundwe hapajawai kutokea National tragedy kama ya MO29...
Kina Lissu wa kitaa walikuja barabarani na bendera uku wakijua watakufa siku iyo. Kuna kijana wa Mwanza yeye aliacha na husia kabisa Kwa mke wake , can you imagine this spirit?? Mimi sio nabii ila Hali hisipobadilika Tanzania hakutapita chaguzi mbili bila ya hii nchi kuwa na makundi ya waasi.
Nilichojifunza ogopa kiumbe binadamu , binadamu ni kiumbe hatari sana. Pamoja na mauaji ya MO29, ila watanzania wakiamua kukiwasha tena wanakiwasha .
Mwisho. Kama waandamanaji wa MO29 wangekuwa na silaha ata bunduki 200 mtaani hii nchi ingewaka moto.
Mto wa mbu
State of Illinois