sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Upinzani upo upo tu, CCM imejisahau sana

    Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala. Ushahidi na Maneno ya Dkt Kigwangala kwamba kuna watu wananunua majumba ya gharama kubwa Osterbay na Dubai. Upinzani wetu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Saint Francis huwa hawaibi mitihani, Wana mifumo mizuri ya kumfanya mwanafunzi awe kasuku wa kuweza kujibu NECTA, ni ngumu sana Kasuku kukosea

    MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI. interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa darasa la saba wanaenda kugeuzwa kuwa kasuku. KUTRAIN KASUKU mfumo wao wa kutrain kasuku ni...
  3. JamiiForums Tanzania Michela Wrong: Nilimkosoa Rais Kagame, sasa napiga kelele baada ya kuzidi kwa Mashambulizi ya mara kwa mara mtandaoni dhidi yangu

    Paul Kagame anaelewa thamani ya taswira inayoonekana. Anapenda kupigwa picha akiwa na sura ya furaha akimkabidhi mtu mashuhuri katika Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos - mwezi huu, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy. Hilo linaendelezwa tu kwa kurejea nyumbani kupiga selfie na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipo wakati mbaya sana

    Wakuu kaka, dada,mama na baba zangu wa jf nipo kwenye Hali mbaya sana ya mateso ya kimawazo. Nahitaji mtu tu japo wakunielewa. Katika umri wangu huu mdogo naona Kila kitu kinaharibika naona Giza mbele yangu. Ndio na mwamini Mungu naamini katika nguvu zake, lAkin wakuu zangu nikikaa nakutazama...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

    Tutanyanyaswa hadi akili itukae. Tutanyanyaswa hadi tujitambue. Tutanynyaswa hadi Elimu itakapotusaidia. Nchi iko gizani tuko kimya. Kazi maofisini zinafanyika kwa kudra ya Tanesco, wakiamua wanakata, au wakupe umeme kwa muda wao. Tuna Rais ambaye hakemei huu ujinga, hachukui hatua za...
  7. JamiiForums Tanzania Shirika la umeme mnatukatia sana umeme bila kutuandaa bila kujali

    Leo ni 26 JAN lakini Wiki Yote hii nimekuwa wa kupishana na umeme kila siku wanatukatia Umeme Usiku saa 1 kurudi had saa 6 kila siku, yani tunarudi majumbani hakuna kitu tunafanya na Giza ni kulala tu, inakwaza mnoo, na mchana huwa wanakata basi vitu vinaaribima kwenye Friji, yan hata kutuandaa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ewe mzazi kama kuna shule za day huna haja ya kumpeleka mtoto boarding, Boarding imekuwa hatari sana kwa watoto kwa hali ya sasa

    Sioni haja ya kupeleka mtoto boarding ikiwa upo mazingira yenye shule za day zenye hizi sifa: -zipo karibu zinafikika ndani ya lisaa -zinafaulisha takribani wanafunzi asilimia 50 -zina walimu wa kutosha -usimamizi upo wa mzazi kufahamishwa mahudhurio ya mtoto Tuache kudanganyana kama zamani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

    Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno.
  10. JamiiForums Tanzania Wasomi hawa wafuatao, wafikishwe mahakamani haraka sana!

    Heko Hayati JPM kwa uamzi huu ambao hukusikiliza kelele za wachumia tumbo na wanasiasa wajaza tumbo, kwao nchi badaye ila tumbo ndio kipaombele chao. Miongoni mwao mwa wanaohitajika kufika kwa pilato ni, Waziri Nape na Waziri January Makamba, hawa ndio walikuwa msitari wa mbele kama wanasiasa...
  11. JamiiForums Tanzania Sisi wanaume weupe tunachukiwa sana. Haya maneno ya huyu jamaa si ya busara

    Hili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Mama wa kambo awatesa watoto wa kufikia (Inasikitisha sana)

    Hili ni tukio la kweli. UNYANYASAJI KWA WATOTO NI KOSA KISHERIA, TOA TAARIFA UNAPOONA MATUKIO YA NAMNA HII KWENYE JAMII.
  13. JamiiForums Tanzania Kama ulidhani Waziri mwenye majibu ya Nyodo na Dharau ni Nchemba pekee umekosea sana, msikie huyu Waziri Oryem wa Uganda

    "Kama nchi yetu ya Uganda imebarikiwa Ardhi yenye Rutuba, Hali ya Hewa nzuri na Mazingira rafiki ya kumfanya Mkulima kwenda Shambani Kulima na akapata Chakula cha kutosha nikisikia kuna Waganda wanalia na kulalamika Njaa watakuwa ni Wapumbavu mno na hawastahili Kusaidiwa au hata kuonewa Huruma"...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

    Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua. Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Kuomba sana, kuwa mwema sana sio sababu ya Mungu kukubariki

    Ukiangalia kwenye maisha kuna watu hawana habari na Mungu hata kidogo na wanamaisha mazuri biashara zao zinazidi kukua kila uchwao mfano mzuri ni wana-science wako mstari wa mbele kumpinga Mungu ila kila siku wanazidi kuvumbua vitu Njoo kwa sisi ambao tunaomba kila siku wengi wetu maisha yetu...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Wivu na chuki ya maendeleo mbaya sana: Waigbo wa Nigeria ndio kabila lenye akili na uwezo mkubwa kibiashara, wanakomolewa ila bado wanadunda

    Nigeria kuna makabila 371 ila kuna makabila matatu maarufu 1. Hausa = Hili ndio kabila lenye watu wengi zaidi Nigeria na Afrika, Hawa wapo nyuma sana mambo ya elimu na hata huko kwao hakuna sana maendeleo miji imejaa omba omba lakini ndio walioshikilia power ya nchi kwenye siasa, Jeshini...
  17. JamiiForums Tanzania Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Habari, Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na nje ya CCM. Mara nyingi amekuwa akitumia jukwaa kujielezea yeye zaidi kuliko chama...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA mna machaguo mawili tu, kuhakikisha Makonda hapati watu wengi kwenye ziara zake au mmshitaki, la sivyo mtapata tabu sana!

    Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari vilivyokuwa vikimwandama, kumchafua na kubezwa karibu na kila mtu, kwa akili yanfu naliamini kuwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Taasisi za mikopo zinakera sana ,Zijirekebishe zinakera Kwa kweli

    Mnanikera sana Kila baada ya siku mbili mnatuma tu Text zenu ,mtu kama anahitaji huduma atawafata ofisin kwenu, Na siyo Kila mtu ana malengo ya kukopa kopa hovyo.
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wanafiki sana

    Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima. Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…