Sisi wanaume weupe tunachukiwa sana. Haya maneno ya huyu jamaa si ya busara

Minjingu Jingu

Senior Member
Nov 2, 2023
116
480
Hili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa attended kwa uharaka sana.

Akaenda kuuliza akifoka kwa wafanyakazi wengine kuwa mbona sijawa attended sijawekewa na kinywaji. (Huyu dada ananifahamu nina shughuli gani na boss wao, mimi nikifika huwa nakaa tu sehemu wanayokaa watanzania wenzangu na kiuhalisia napaswa niwe nakaa VIP) so akawa anawasema kwa nini hawajanipeleka VIP ndo secretary akasema nilimwambia tu hata pale panatosha asiwe na shaka.

Yule dada alinifuata this time akiomba kwa unyenyekevu sana kuwa nihamie kule VIP si vyema mimi kusubiri hapa nilipo. Nikajisikia vibaya kumkatalia kutokana na lugha aliyotumia. Basi nikaamka kwenda. Nikiwa kule kumbe wale jamaa ofisi ya pembeni hawakujua kama nitapita pale kwao ndo nikamsikia jamaa anasema.

"Boss anatulalamikia sababu ya yule Jamaa bitozi white kama demu" nikakohoa ili asiendelee kuongea maneno mengine ajue napita, alishtuka.

Sikuelewa why aniite white kama demu. Mimi sijichubui, sipaki lotion au cream. Napaka tu vaselline au mafuta ya nani. Why ameonesha chuki kwangu na hali sijamtukana, sijamdharau wala nini? Nikakumbuka niliwahi kuwa na demu mmoja alikuwa ananiambia ananipenda sana isipokuwa anakosa amani kutembea nami sababu namfunika..... Sikuwa naelewa. Baadaye akaja akasema anamaanisha hii rangi yangu ya mtume inampa shida, tulikuja achana. Cha ajabu aliolewa na baadaye akawa ananifuata nimpatie mtoto. Ili apate mtoto mweupe. Sikuona kama ni jambo jema kwa kweli.

Hili tatizo sielewi nini chanzo, binafsi mimi napenda mwanamke rangi yoyote ile huwa rangi si tatizo kwangu awe tu mzuri na mwenye kuvutia. sibagui sana rangi. nadhani tusifikie hatua ya kubaguana kwa sababu ya rangi. si wanaume wala wanawake. Mungu anajua mwenyewe why alitupa rangi tofaut tofaut.

Rangi nyeupe ni ya wote tu, angalia wazungu, wachina, waarabu, wahindi n.k na kuwa mweusi siyo ndo kuwa mwanaume au mwafrika sana.
 
Mimi nimekulia kijijini kwetu ujaluoni nikiwa na miaka 6 bi mkubwa alikuja kunichukua kunileta dar nianze shule na hapo ndio ilikua mara yangu ya kwanza kumuona wanaume weupe , bi mkubwa ni mweupe kwaiyo nikawa najua weupe ni wanawake tu, mara ya kwanza nilikua nawashangaa sana wanaume weupe ila badae nikaja kuzoea. Binafsi mazingira yaliyonikuza namuona mwanaume mweupe kama legelege fulani hivi.
 
Ukweli usemwe usifichwe ni hivi si kanakwamba wanawake wa kiafrika wanawapenda wanaume weusi ila ipo hivi wanaume weupe ni watu wasio shoboko shoboko kwa wanawake ovyo,na wanajiamini sana.

Lakini pia lingine wanaume weupe kiwalisia wanavutia sana na anapokuwa na mwanamke mwanamke anaona kama mwanaume mweupe humfunike akaonekana yeye ni mbaya kuliko mwanaume,hivyo huwapenda wanaume weusi kwasababu ni rahis sana kufunikwa hata na mwanamke wa kawaida.Na wanaume weusi huwanyenyekea sana wanawake kwasababu yakutojiamini.

Pia silika ya waafrika huwa wanaassume kibaya ndio kizuri na kizuri ndio kibaya..mfano hata kwenye vyakula utasikia ugali ndio chalula kizuri..tokea lini bhana ugali ikawa chakula cha maana kama sio umasikini ni nini?
LINGINE LINALOWATESA HAWA WANAWAKE WAKITANZANIA NI HIVI MWANUME MWEUPE HAPENDI MAPENZI ANAFOCUS SANA NA MAMBO YA MAANA KWA USEREOUS ILA MWEUSI NI MPENDA NGONO BALAA

Nb.wewe Dunia kote ushamuona wap mwenaume mweusi mwenye akili na tajiri..Dunia imeangazwa na mwanaume mweupe
 
Ukweli usemwe usifichwe ni hivi si kanakwamba wanawake wa kiafrika wanawapenda wanaume weusi ila ipo hivi wanaume weupe ni watu wasio shoboko shoboko kwa wanawake ovyo,na wanajiamini sana.

Lakini pia lingine wanaume weupe kiwalisia wanavutia sana na anapokuwa na mwanamke mwanamke anaona kama mwanaume mweupe humfunike akaonekana yeye ni mbaya kuliko mwanaume,hivyo huwapenda wanaume weusi kwasababu ni rahis sana kufunikwa hata na mwanamke wa kawaida.Na wanaume weusi huwanyenyekea sana wanawake kwasababu yakutojiamini.

Pia silika ya waafrika huwa assume kibaya ndio kizuri na kizuri ndio kibaya..mfano hata kwenye vyakula utasikia ugali ndio chalula kizuri..tokea lini bhana ugali ikawa chakula cha maana kama umasikini nini?

Hapa kwenye wanaume weusi kuwanyenyekea wanawake umeongea bonge la pumba

Alafu kuna utofauti sana kati ya rangi na muonekano wa mtu

Kuna wanaume ni weusi-Handsome na kuna wanaume weusi sio handsome

Kuna wanaume weupe-Handsome, Na kuna weupe sio handsome

Kwahiyo hoja yako ni pumba.
 
Hili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa attended kwa uharaka sana.

Akaenda kuuliza akifoka kwa wafanyakazi wengine kuwa mbona sijawa attended sijawekewa na kinywaji. (Huyu dada ananifahamu nina shughuli gani na boss wao, mimi nikifika huwa nakaa tu sehemu wanayokaa watanzania wenzangu na kiuhalisia napaswa niwe nakaa VIP) so akawa anawasema kwa nini hawajanipeleka VIP ndo secretary akasema nilimwambia tu hata pale panatosha asiwe na shaka.

Yule dada alinifuata this time akiomba kwa unyenyekevu sana kuwa nihamie kule VIP si vyema mimi kusubiri hapa nilipo. Nikajisikia vibaya kumkatalia kutokana na lugha aliyotumia. Basi nikaamka kwenda. Nikiwa kule kumbe wale jamaa ofisi ya pembeni hawakujua kama nitapita pale kwao ndo nikamsikia jamaa anasema.

"Boss anatulalamikia sababu ya yule Jamaa bitozi white kama demu" nikakohoa ili asiendelee kuongea maneno mengine ajue napita, alishtuka.

Sikuelewa why aniite white kama demu. Mimi sijichubui, sipaki lotion au cream. Napaka tu vaselline au mafuta ya nani. Why ameonesha chuki kwangu na hali sijamtukana, sijamdharau wala nini? Nikakumbuka niliwahi kuwa na demu mmoja alikuwa ananiambia ananipenda sana isipokuwa anakosa amani kutembea nami sababu namfunika..... Sikuwa naelewa. Baadaye akaja akasema anamaanisha hii rangi yangu ya mtume inampa shida, tulikuja achana. Cha ajabu aliolewa na baadaye akawa ananifuata nimpatie mtoto. Ili apate mtoto mweupe. Sikuona kama ni jambo jema kwa kweli.

Hili tatizo sielewi nini chanzo, binafsi mimi napenda mwanamke rangi yoyote ile huwa rangi si tatizo kwangu awe tu mzuri na mwenye kuvutia. sibagui sana rangi. nadhani tusifikie hatua ya kubaguana kwa sababu ya rangi. si wanaume wala wanawake. Mungu anajua mwenyewe why alitupa rangi tofaut tofaut.

Rangi nyeupe ni ya wote tu, angalia wazungu, wachina, waarabu, wahindi n.k na kuwa mweusi siyo ndo kuwa mwanaume au mwafrika sana.
Wanawake wanawaona kama ni Washindani wao kwenye kusaka mabwana 🤣🤣
 
Ukweli usemwe usifichwe ni hivi si kanakwamba wanawake wa kiafrika wanawapenda wanaume weusi ila ipo hivi wanaume weupe ni watu wasio shoboko shoboko kwa wanawake ovyo,na wanajiamini sana.

Lakini pia lingine wanaume weupe kiwalisia wanavutia sana na anapokuwa na mwanamke mwanamke anaona kama mwanaume mweupe humfunike akaonekana yeye ni mbaya kuliko mwanaume,hivyo huwapenda wanaume weusi kwasababu ni rahis sana kufunikwa hata na mwanamke wa kawaida.Na wanaume weusi huwanyenyekea sana wanawake kwasababu yakutojiamini.

Pia silika ya waafrika huwa assume kibaya ndio kizuri na kizuri ndio kibaya..mfano hata kwenye vyakula utasikia ugali ndio chalula kizuri..tokea lini bhana ugali ikawa chakula cha maana kama umasikini nini?
LINGINE LINALOWATESA HAWA WANAWAKE WAKITANZANIA NI HIVI MWANUME MWEUPE HAPENDI MAPENZI ANAFOCUS SANA NA MAMBO YA MAANA KWA USEREOUS ILA MWEUSI NI MPENSA NGONO BALAA

Nb.wewe Dunia kote ushamuona wap mwenaume mweusi mwenye akili na tajiri..Dunia imeangazwa na mwanaume mweupe
Dangote ni mweusi na ni tajiri
 
Back
Top Bottom