sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kati ya Pacome na Chasambi ni vita kali sana

    Hawa wataingia kwenye msuguano mkubwa sana. Huyu dogo Chasambi wa Mkia na Pacome wa Yanga. Hawa ni level moja kabisa, tuone tu Chasambi atakuwa na matches ngapi kuja lingana na Pacome.
  2. JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

    Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha. Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya kiuchumi ya Zanzibar yalisaidia sana Watanzania kutamania Alhaj Ali Hassan Mwinyi aongoze Tanzania

    kiukweli Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliongoza vizuri sana Zanzibar na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kilichochangia Watanzania wawe na imani naye sana ni mageuzi ya kiuchumi na kijamii aliyoyafanya Zanzibar kwa kipindi kifupi wakati wa awamu yake na hivyo wananchi wengi hususani...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Inatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu. Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
  5. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ngazi ya vilabu inakuwa kwa kasi sana, hongereni wawekezaji

    Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye michuano ya CAF, tuliona kwenye AFCON jambo hilo na huku champions league naona imejirudia. Ni timu mbili...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

    Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waalimu tunadharauliwa sana hivi kwanini?

    Tanzania Wilaya ya Uyui Waalimu tunanyasika sana sijui tatizo nini? Tulikuwa kwenye semina ya mtaala mpya daaa h full vitisho maneno ya kukatishana tammaaaa. Posho hazieleweki za semina yenyewe mnaishia kupewa maji makubwa. Hii wilaya ina shida serikaki iangalie kwa jicho la pekeee ni wilaya...
  8. JamiiForums Tanzania Kiungo gani cha mwili kinakupa sana pesa?

    Kiungo gani cha mwili kinakupa sana pesa?
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna Wasanii hawadimu kwenye game na ni wakali sana.!?

    Je ! Ni Management zao.. Ni Fedha.. Ni kutotoa hongo ktk Media Industry!? Mawazo yako mengi sana. Najua nawe una mawazo yako.. Kwa Mfano. Benson ni nini kilimfanya asiendelee kuwa msaniii mkali kabisa!? . Au huyu LodyMusic.. kwanini wanakuja na kuondoka.. pure talents. Embu tuwasikilize hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nani? Mbona amekuwa akitrend sana kwenye mitandao ya kijamii?

    Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya? Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

    Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa) Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya Grace na Mugabe

    Grace alikuwa Mke wa Rubani wa Jeshi la Zimbabwe na akapata kazi Ikulu. Akiwa Ikulu akaanzisha Mahusiano na Mugabe, Mwisho Mugabe akampa mimba 2. Ikabidi ndoa ya Grace na Mwanajeshi Ivunjike. Mugabe akiwa na Miaka 72 akamuoa Grace mwenye Miaka 31. Mugabe alimzidi Grace miaka 41.
  13. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona baadhi ya hospitali binafsi ambazo ni PENDWA zinagomea kutoa huduma

    Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha. Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki. NHIF amehusika kukuza hospitali...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina. Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto. Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara. Kwanini hali ni...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  16. JamiiForums Tanzania Video: The man mwaka huu jamaa ametuwakilisha vyema sana. Vijana mna la kujifunza

    Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie. Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za kijinga kulia lia hapa kwamba umeachwa. Kwani mama yako huyo? Kafanye mambo mengine kama mapenzi...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

    Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana. App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi. Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
  19. JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili sana na uwezo wa kuzitumia unakuwa hautafuti kazi ila unatafutwa ili usaidie

    Hii huwa naisema kila siku MTU mwenye AKILI Sana na akawa anajua kuzitumia , huwa hatafuti kazi. Mfano MAX MELO muhaya serikali ilimtafuta ili awasaidie kazi Hivyo vijana self -investment ndo kila kitu , jithadi uwekeze katika wewe na banda ya hapo watu watawekeza katika wewe. Ajira umekuwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watawala kuhusu matumizi yasiyo ya lazima sana

    Kila kukicha tunashauri tubane matumizi katika kila eneo, sasa mimi nikiwa mwanchi wa kawaida kabisa nashauri yafuatayo kwa Watawala kuhusu kupunguza matumizi makubwa ya Serikali. (1) Wananchi tumeshuhudia misafara mikubwa ya magari ya umma yakisindikiza misafara ya Viongozi Wakuu mfano Mhe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…