Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

Tukiacha muonekano,,ipi ni Bora kwa maana hazifi ovyovyo motherboard,,etc?
 
Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
Ukienda kununua pc hakikisha ina model number sio label tu nyingi ni fake siku hizi wachina wanaziunda hovyo hovyo motherboard zinakufa Sana.

Dell wako vizuri kwenye motherboard na Lenovo but hp sikushauri labda uwe na MTU atakaeinspecf hiyo machine.

Hp nyingi za siku hizi ni mafamba ya mchina
 
Umenifungua hapa Kuna HP Moja nimeona Kuna wahuni wanaiuza 660k kucheki mtandaoni nikakuta bei yake ni 2.7M mpaka hapo nilikuwa na maswali mengi sana
 
kwenye hiyo competition, mtoe kabisa Lenovo, hafai hata kukaa hapo....hp na dell wako vizuri zaidi...
 
kwenye hiyo competition, mtoe kabisa Lenovo, hafai hata kukaa hapo....hp na dell wako vizuri zaidi...
Lenovo Thinkpad anawaburuza wote hao. Hizi machine ni durable, Hp pekee ndie anasuasua hapo.

Hizi machine za HP nafikiri nyingi zimetengenezwa kwa ajili ya soko la ulaya. Ukichukua uje kutumia huku Afrika zinaweza kukuzingua
 
Lenovo ni takataka kama alivyo acer......shida ya hp na dell ni kuwa wana matoleo mengi ambayo wengi hawajui utofauti wake...hakuna Thinkpad itakayokalibia ( hp envy, elitebook au pavilion).... Lenovo zinapendwa na walala hoi sababu ya bei yake huku kwetu ni cheap....
 
Hapa umemaliza Kila kitu...
Kuna mkuu nilikua namwagizia PC Arusha wakawa wananishauri kuhusu Lenovo nikawaambia mm mwenywe nimenunua hapo hii ninayotumia ila nimegindua ni za hovyo ikabidi anipigie promo sana lkn mwisho nikamwambia Lenovo sizihitaji kwa namna yyte Ile.

Saiv nawaza nipate angalau HP spectre x360 au HP envy
 
Back
Top Bottom