samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Kuwapa Mikopo Wanafunzi Waliotemwa Samia Scholarship

    Serikali imewahakikishia kupata mikopo wanafunzi 226 ambao wametemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship,’ baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo. Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

    Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
  3. JamiiForums Tanzania Kigezo cha Ufaulu chawatema Wanafunzi 200 kwenye Samia Scholarship

    Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao. Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Rais Samia na ukwapuaji wa matrilioni ya pesa za walipa kodi

    MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI. Na Mwandishi wetu 5 November 2023. 23:05 Botswana 🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi unaowajali wananchi na kujali maslahi ya nchi na taifa lakini kwa uongozi huu ni bora uongozi na sio uongozi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Eti aliyeingiza jezi feki kutoka China analindwa na mtu kutoka juu?

    Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti. Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni...
  6. JamiiForums Tanzania President Samia for 2025!

    Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025. Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais. Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu. Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum Toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Tarh 06/11/2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka mazungumzo ujenzi wa Hospitali ya Apollo nchini

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Afya kukufua mazungumzo ili kuhakikisha kituo cha umahiri na ubobezi wa kimatibabu 'Apollo Hospital' kinajenga jijini Dar es Salaam na kukamilika ifikapo mwaka 2026. Hayo yamesemwa leo Novemba 6, 2023 wakati ujumbe wa Rais wa Apollo Group Hospitals...
  9. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Rais Samia ni zao la jitihada za Bibi Titi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taifa linajivunia utendaji kazi wa Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu, ambaye ni zao la hamasa ya Hayati Bibi Titi Mohamed katika kuwahamasisha wanawake nchini kushika nafasi za juu za uongozi...
  10. JamiiForums Tanzania NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

    MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB. ====== Wasalaam Jf team, Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni " Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

    Baaada ya Derby ya Leo Mheshimiwa Rais wa Nchi Samia suluhu hassan ametoa pongezi zake kwa Team ya Yanga kwa ushindi Mkubwa. Hii ni kupitia Account yake ya Mtandao wa (x) Alikua Mbowe siku ya Kule Rwanda Leo Samia.
  12. JamiiForums Tanzania Ujanja wa Rais Samia kutumia mpira kujizolea kura huku ripoti muhimu ya CAG iliyojaa wala rushwa ipo kapuni

    Frankly speaking Samia hajui chochote kuhusu mpira! Support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa CCM ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa Simba na Yanga basi kura karibia zote unazo. Swali dogo tu; je ni lini umemsikia Samia akipongeza timu kama...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ampa Pole Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Kufiwa na Kaka Yake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na kaka yake Issa Juma Nangalapa aliyefariki alfajiri ya leo Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023
  15. JamiiForums Tanzania Samia Cup Kuinua Vipaji Same

    Mkuu wa Wilaya ya Same Kaslida Mgeni amewashauri Vijana kuhakikisha wanawekeza nguvu zao kwenye michezo ili kukuza vipaji vyao badala ya kujihusisha kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo kilimo cha bangi na mirungi. DC amesema hayo kwenye uzinduzi wa mashindano ya Michezo ya Dkt.Samia Cup...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia kuwadhibiti Mahakimu na Majaji pesa nyingi za umma zitaibiwa na watumishi mafisadi watashinda kesi kirahisi

    Mahakama ni chombo huru lakini hakitakiwi kuwa huru. Mahakimu na majaji wengi wanautumia uhuru wa mahakama vibaya. Fikiria jinsi pesa za halmashauri zinavyoibwa kila siku. Ushahidi hata wa kimazingira upo wazi. Majengo yanajengwa chini ya ubora. Kinachofuata ni mtumishi kusimamishwa kazi na...
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Ashiriki Mkutano Maalum wa Dharura SADC

    Picha mbalimbali Rais Samia Suluhu akishiriki mkutano wa dharura kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola leo Novemba 4, 2023. Pamoja na mambo mengine, mkutano huo unajadili juhudi za SADC katika kuimarisha amani, ulinzi na usalama Mashariki...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
  19. JamiiForums Tanzania Dotto Biteko: Tumsaidie Rais Samia kujenga Nchi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania. Ujumbe...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ujumbe Maalum toka kwa Mfalme wa Saudi Arabia

    Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo maalum na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…