Mchengerwa: Rais Samia ni zao la jitihada za Bibi Titi

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taifa linajivunia utendaji kazi wa Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu, ambaye ni zao la hamasa ya Hayati Bibi Titi Mohamed katika kuwahamasisha wanawake nchini kushika nafasi za juu za uongozi.

Mhe. Mchengerwa amesema hayo leo Novemba 5, 2023 jijini Dar es Salaam baada ya dua ya kumuombea Hayati Bibi Titi iliyofuatiwa na uzinduzi rasmi wa Tamasha la Kumbukizi la Bibi Titi kwa mwaka 2023 (Bibi Titi Memorial Festival 2023).

Mhe. Mchengerwa amesema Bibi Titi alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na alifanya kazi kubwa ya kumsaidia hlHayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kulikomboa taifa.

“Marehemu Bibi Titi Mohamed alikuwa jasiri na kupitia nafasi yake katika chama alifanikiwa kupenyeza habari za ukombozi wa taifa kwa watanzania wengi na kujenga ujasiri miongoni mwa wanawake akiwahimiza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi,” alisisitiza Mhe. Mchengerwa.

Aliongeza kuwa “Ndoto za Bibi Titi zilikuwa ni kuona siku moja wanawake wakishika nyadhifa za uongozi wa ngazi za juu kama ilivyo sasa, ambapo tuna Mhe. Rais mwanamke, Spika wa Bunge mwanamke, Mawaziri wanawake, Makatibu wakuu na Wakurugenzi wanawake katika taasisi mbalimbali."

Kuhusu tamasha la Bibi Titi kwa mwaka 2023, Waziri Mchengerwa amesema tamasha hilo linalojumuisha zaidi ya vikundi 200 vya mbio za polepole (Jogging club) kwa mwaka huu (2023) litatumika zaidi kukieleza kizazi cha sasa kuhusu mchango wa Bibi Titi Mohamed kwenye ukombozi wa taifa kwa kuwa vijana waliowengi bado hawajui historia yake.
 
1699278594037.png

Tunakusoma Moody Mchengerwa, mjukuu wa Bibi Titi Mohammed.
 
Huko CCM kitu pekee kinachomtofautisha January Makamba na wenzake wote waliolamba teuzi ni kusifia sifia na kupongeza mpaka kugeuka kituko, na sifa nyingine ambazo unaweza kuziona kama kejeli. Sijawahi kumsikia kabisa Makamba akisifia na kupongeza mpaka kugeuka kituko. Labda kama anafanya hivyo akikutana na Rais.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taifa linajivunia utendaji kazi wa Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu, ambaye ni zao la hamasa ya Hayati Bibi Titi Mohamed katika kuwahamasisha wanawake nchini kushika nafasi za juu za uongozi.

Mhe. Mchengerwa amesema hayo leo Novemba 5, 2023 jijini Dar es Salaam baada ya dua ya kumuombea Hayati Bibi Titi iliyofuatiwa na uzinduzi rasmi wa Tamasha la Kumbukizi la Bibi Titi kwa mwaka 2023 (Bibi Titi Memorial Festival 2023).

Mhe. Mchengerwa amesema Bibi Titi alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na alifanya kazi kubwa ya kumsaidia hlHayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kulikomboa taifa.

“Marehemu Bibi Titi Mohamed alikuwa jasiri na kupitia nafasi yake katika chama alifanikiwa kupenyeza habari za ukombozi wa taifa kwa watanzania wengi na kujenga ujasiri miongoni mwa wanawake akiwahimiza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi,” alisisitiza Mhe. Mchengerwa.

Aliongeza kuwa “Ndoto za Bibi Titi zilikuwa ni kuona siku moja wanawake wakishika nyadhifa za uongozi wa ngazi za juu kama ilivyo sasa, ambapo tuna Mhe. Rais mwanamke, Spika wa Bunge mwanamke, Mawaziri wanawake, Makatibu wakuu na Wakurugenzi wanawake katika taasisi mbalimbali."

Kuhusu tamasha la Bibi Titi kwa mwaka 2023, Waziri Mchengerwa amesema tamasha hilo linalojumuisha zaidi ya vikundi 200 vya mbio za polepole (Jogging club) kwa mwaka huu (2023) litatumika zaidi kukieleza kizazi cha sasa kuhusu mchango wa Bibi Titi Mohamed kwenye ukombozi wa taifa kwa kuwa vijana waliowengi bado hawajui historia yake.
anamfananisha mamamke wake na bibi titi kweli, anaelewa maana yake? anajifanya hajui namna wanavyomtania na kumwita hilo jina? au anajichetua tu akili.
 
Bibi titi hakuwa mvivu kama huyu mother tuache kuchafus watu shupafu waliopigania taifa hili
 
Back
Top Bottom