Je, ni sahihi kwa wapendanao ( wanandoa & wapenzi ) kutumia video za ngono kama muongozo wawapo faragha?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,105
10,724
Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu.

Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama ilivyo kawaida kuwa elimu ubadilika kutokana na tafiti, aina ya maisha pamoja na gunduzi mpya ndivyo hivyo hivyo tasnia hii pendwa imebadilika na kuja na wigo mpana kumfanya mtazamaji kuangalia na kujifunza atakacho.

Back in days nishawahi kuambiwa japo sikuwahi kuthibitisha kuwa katika zawadi wapewazo maharusi katika usiku wa sherehe yao basi DVD collection ya video za ngono inakuwa inaambatanishwa kwa wapendanao hao ili waka practice kile wanachokiona kwa lengo la kufurahia utamu asili uliopo kwenye miili yao.

Swali je ni sahihi kutumia video za ngono Kama muongozo unapokuwa na mke/mme wako faragha kwa kuiga kile unachokiona ili kumnogesha mwenzako?

Ikumbukwe kuwa Kila mtu anajua tendo la ndoa linavyofanywa kinachopelekea watu kuangalia video za ngono ni kupata vitu vipya sababu mwanadamu ni kiumbe kinachokuwa bored na repetition ya Mara kwa Mara hapa swali ni kupractice vitu vipya kwa mwenza wako kutoka kwenye ordinary mpaka extraordinary.
 
Siku hizi watu wanaona wakiwa wameshaijua ngono sana tu style zote wanapiga kwa ufanisi mkubwa, unakuta binti anaolewa lakini ameachana na ma-ex boyfriend wengi kuliko namba ya umri wake,mwanaume ndio usiseme unakuta umechakata papuchi za kutosha sasa video ya ngono ya nini style zote mnazijua.
 
Acha kuendekeza kucheki mapilau hayo ndio yanawafanya mjilinganishe nao, unamcheki jamaa anapiga masaa mawili ndio anamaliza wakati we takko zako sita chali unaanza kujiona mchovu, kumbe yeye hayo masaa mawili unayoona labda hata ni clip za siku tatu.....

Cheza mechi zako achana na hizo booster za kina Cherokee
 
Ndiyo sababu ngono imekosa ladha, kwa vile imekuwa ya kujifunza kwa formula…. enzi zetu ilikuwa kila mtu anajua kivyake.
Tuache utani hivi bila hizi video kweli Hili bara tungejua kuhusu denda?
 
Mkuu ngoja siku wakati mnacheki ukutane na mtu amekuzidi pipe, maufundi na kila kitu then wife amsifie huyo Jamaa ndio utakapoacha kuangalia pido ukiwa na mtoto mzuri
 
Denda hata leo kwa wenye timamu ni ujinga, rudi huko kwenu ndani ndani kamata manzi uanze mambo ya denda uone.

Utasikia “usinilambe lambe kama jibwa”..!!
Daah kweli aisee

Nimekumbuka wakati niko naskuli mkoa flani hv kanda ya ziwa huko, aisee Kuna manzi mmoja nikampanga tukutane mazingira nipunguze sumu za maharage ya skuli maana ilikua uboyzini

Alipokuja maeneo katika pilika za hapa na pale namnyonya akasema kwa lafudhi ya kikwao huko "Dolla_Mbili acha kunilambalamba bn, mimi sio peremende nit##be nikalale"

Niliipiga kama napiga punye aisee maana alikua yupoyupo tu
 
Back
Top Bottom