Ni sahihi kumkamata ugoni dada yako?

Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mme wake unaweza kumkamata ugoni?

Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
Daaah! Hii ilimtokea mchizi wangu mmoja kule Iringa, aliitwa na shemeji yake amuone dadayake anavyochepuka tena kwenye choo cha bar, mchizi alitoka mbio akimuacha mume wa dadayake asijue la kufanya
 
Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mme wake unaweza kumkamata ugoni?

Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
Kwa mimi wa kiume ntapita kama sijaona kitu ila wewe wakike mwenzie mchane tu
 
Kiswahili ulichotumia hapa hakijakaa sawa...

Anyway, tukio lolote la ugoni sio sawa
 
Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mme wake unaweza kumkamata ugoni?

Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
Ugoni anafumania mke au mume na si vinginevyo, wewe ni informer tu.

By the way hata wewe unaweza kuliwa na mume wa dada yako fresh tu, punguza wivu na roho mbaya.

Cha msingi wewe ni mchawi kamili kasoro vitendea kazi tu ndio huna.
 
Ndo muhusika Nini?, maana sio kwa povu hilo.
 
Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mme wake unaweza kumkamata ugoni?

Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.

Why dont you just mind your own business? Whether wewe ni mwanaume au mwanamke, mwache dada yako afanye yake . Dunia itamfunza

Get busy working on your life
 
Mtoa mada naomba pia nikuulize swali.
Hivi ni sahihi kumkamata ugoni mama yako mzazi ambae ni mke wa baba yako?
 
Back
Top Bottom