sahihi

  1. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, Rais yuko sahihi kuhusu umasikini?

    Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa kula matunda na asali ambayo hawanunui. Hivyo ukiweka kifedha inawezekana wanatumia gharama kubwa...
  2. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

    Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake? Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati watu huwa sahihi sana katika kuwashauri watu

    WEKA UTAYARI KWA KILA MTU, SIKILIZA MAWAZO NA USHAURI WAO KWAKO LAKINI KUFANYIA KAZI NI UAMUZI WAKO. Kwa nini ni vizuri kumsikiliza kila mtu? Zipo sababu nyingi mno za ni kwa nini ni vizuri kumsikiliza kila mtu lakini sababu kubwa ni ukweli kuwa kila mtu kuna wakati anakuwa sahihi katika mawazo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

    Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150. Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu? Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga halihitaji siasa; Hatua za kuwapanga zilizochukuliwa sasa ni sahihi

    Nimefuatilia mijadala ya Wabunge wiki hii; wengi wa waheshimiwa Wabunge wanatetea hatua zilizochukuliwa ikiwemo kuwaweka MACHINGA kwenye maeneo maalum ya biashara. WENGI wa hawa Waheshimiwa wabunge wanapendekeza machinga waruhusiwe ETI KUWAFUATA WATEJA. Tukiruhusu hiki kinachopendekezwa na...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Soka la kisasa Mchezaji anathaminishwa kwa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sio Kipaji

    Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka. Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni. Hivyo basi kama...
  7. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Simba SC wanatupa somo la mpira, kwamba uwanja wa nyumba ndio uwanja Sahihi wa Team kusonga mbele

    Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga. . Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani. . Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani. . Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kukataa kumtibu mtu kisa ni mtu mzima unayemuheshimu

    Kwa watu wazima rika la mama yako either ni mama wa rafiki zako wakaja hospitali kupata huduma na wakakukuta wewe ,japo na madaktari wengine pia wapo, na matibabu yao yanataka kuwa expose sehemu zao za siri, je ni sahihi kukataa kuwatibu na kuomba daktari mwengine amtibu kwa kigezo cha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukishikamana na Mchina atakunyonya hadi Ukome, ukishikamana na Mmarekani atakuhujumu hadi Ujute je, yupi ni sahihi Kwetu Kimaendeleo?

    Kazi yangu kubwa leo katika huu Uzi ni kusoma tu Maoni ( Comments ) za JamiiForums Great Thinkers (Werevu ) ili nami nijue na nijifunze mengi kisha nije kuwa kama nyie. Karibuni nikitumai na walioko Washington sasa ikiwa ni saa 6 ikienda saa 7 za Usiku kama bado hawajalala watapata nafasi ya...
  10. ShukuNundu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua shida hii Ajiraportal

    Habari, kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno. Nani alishapata solution?
  11. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Msijisahau huu ndio wakati sahihi wa kauli mbiu "Mama Anaupiga Mwingi"

    Lopolopo kuhusu viwango vya nauli msijisahau tunawakumbusha Mama anaupiga mwingi sasa yuko pande za Marekani, anafanya mwendelezo wa bidii za kuifungua nchi. Mama anaupiga mwingi, tuache lopolopo nauli kiwango cha chini ni 700 -1000,mpende msipende
  12. Hunteroflove

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hapa

    Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakati vitu vinazidi kupanda bei, Serikali imelipia ndege mpya tano kuimarisha ATCL

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ili liweze kutoa huduma bora ya usafiri wa anga ndani na nje ya nchi ambapo amebainisha kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya ununuzi wa ndege tano. Japo hawajasema ni lini...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi unaweza kuitumia kuomba nafasi ya kujitolea ktk kampuni

    imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu maana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi, Mengine ni kutufanya sisi "kindergarten"

    Habari wanajamvi, "Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi" Ninaanza na kauli hiyo kwa sababu kumekuwa na tamaduni kwamba Kila akisemacho Rais na kukipinga hadharani waliohusika kukifanya wamekuwa wakikosolewa na kupondwa sana, Mfano:JPM alileta kikokotoo, lakini alikuja kukipinga hadharani kwa...
  17. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mtihani wa kuwapata wagombea-wenza sahihi wa kiti cha urais Kenya

    Mtihani mkubwa ulioko mbele ya Wagombea wa kiti cha Urais #Kenya (Odinga na Ruto) ni chaguo la Mgombea-mwenza. Chaguo lao wote wawili huenda likabadilisha mchakato mzima wa siasa na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu Agosti 9. Ni suala la kusubiri tu.
  18. ragin

    JamiiForums Tanzania Ipi njia sahihi ya kumlea mtoto akiwa na mzazi mmoja?

    Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema, Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya watoto mliozaa kukosa malezi ya wazazi wawili. Je, tufanyaje Watoto hawa tuwaleeje ikiwa wapo na...
  19. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

    Habair wanajamii Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba. Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nihifadhi wapi akiba yangu ya fedha ili nipate faida ya angalau asilimia 10 kwa mwaka?

    Habari ndugu zangu, Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka! Naomba msaada kwa anayejua
Back
Top Bottom