sahihi

  1. Linguistic

    JamiiForums Tanzania CWT ni Shamba la Bibi, kila anayepata nafasi anavuna atakavyo, Seif (Katibu Mkuu) na Allawi (Mweka Hazina) ni kielelezo sahihi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu nchini Tanzania (CWT), Deus Seif na Mwekahazina wa chama hicho, Abubakari Allawi, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kupatikana na hatia ya kutumia madaraka yao vibaya kwa kuchepusha Sh 13.9milioni mali ya CWT. Hukumu hiyo ilosomwa week iliyopita...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  3. Martin Maranja Masese

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC. Katika mfumo wa...
  4. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mghana Kwesi Appiah ndiyo alikuwa sahihi kuwa Kocha Mpya wa Simba SC kuliko huyu Mzungu wenu ambaye najua hatodumu

    Kwesi Appiah ni.... 1. Mwafrika Mwenzetu 2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni ) 3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC 4. Angejikita zaidi katika Soka la Nguvu la Ghana kuliko la Unyoro nyoro ( Lege Lege ) la Wareno 5. Angekuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya incubators

    Habari wanajamvi!! Mimi ni mfugaji niliyekuwa nikifuga kuku kwa kununua vifaranga.... Baada ya muda mrefu nimeamua kujipanua kwa kununua incubator ndogo ya mayai 120.... Utotoleshaji wangu wa kwanza, niliweka mayai 120 ila nilipata vifaranga 62, mayai 14 yalionekana hayakurutubishwa, mayai...
  7. Mgagaa na Upwa

    JamiiForums Tanzania Yanga walikua sahihi kujitoa kwenye shindano la nani zaidi

    Ndani ya wiki moja simba iliweza kuingiza milioni 90 kwenye hili shindano,baada ya Yanga kujitoa ndani ya siku 3 simba wanasufer kuingiza milioni 3,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa hadharani ila tetesi zinadai kuna ujanja ulikua unafanyika kuhamisha miamala
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaacha kutuletea Maendeleo Watanzania kazi yenu kutwa ni kutishia tu wasema ukweli au watoa taarifa sahihi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua.. Chanzo: Dar Mpya Blog Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Stuart Baxter niliyemfahamu mwaka 2004 hadi 2005 na 'Mapungufu yake si Kocha sahihi Kuifundisha Simba SC yetu

    Kama kawaida yako Madam Kiherehere na Kukurupuka CEO Barbara Gonzalez na Uongozi wa Simba SC kwa kupenda Kwenu Kukurupuka hasa pale linapokuja Suala la Kuajiri Makocha. Kocha Stuart Baxter ambaye GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Vyanzo vyangu aminika kuwa ndiyo Simba SC watampa Kandarasi...
  11. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Kocha Kim ameingamiza Taifa Stars na Sub zisizo sahihi

    Wanabodi Timu yetu ilicheza vizuri sana. Tuliwamudu kabisa Algeria hadi Dkk ya 40 tukafungwa goli la bahati mbaya la faulo linalofanana kabisa na goli la kwanza Algeria walilowafunga Uganda hivi benchi la ufundi na wachezaji wetu hawakuangalia ile mechi kujifunza upigaji faulo wa Algeria ...
  12. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Umri Upi ni Sahihi kwa Mtu Kustaafu kazi?

    Wakuu tujadili umri sahihi kwa mtu kustaafu ni upi? Awe ni mtu binafsi anayefanya shughuli zake mwenyewe au za kuajiriw na kama ni lazima uwe na hela za kutosha kwanza ndio uamue kustaafu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Pablo kuondoka ni sahihi. Matola naye asibake aje Pawasa mbadala

    KUONDOKA KWA PABLO NI SAHIHI KABISA Kocha yeye kila siku kulia Kocha amecheza mechi 4 na Yanga hajashinda hata moja hafai kuwa SIMBA Kocha hana mbinu za kuweka mpira chini, kushambulia kwa kasi, kutumia wachezaj vzr Kocha anadrooo nyingi muno hata mkumletea MESSI hawezi kudelievr MATOLA AONDOKE...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China hufanya makosa, Marekani huwa sahihi? Huu ni umwamba!

    Hivi sasa China imekumbwa na wimbi jipya la janga la COVID-19, hususan huko Shanghai, ambapo kesi za maambukizi ya virusi ni nyingi. Ili kulinda maisha ya watu, China imechukua hatua mbalimbali madhubuti. Lakini kwa mara nyingine tena, Marekani imejitokeza na kuishutumu China, ikisema mwitikio...
  15. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Vijana waliohitimu Kidato cha Sita ni muda sahihi kukaribishwa mtaani

    Habari wanajukwaa. Naona tumeomgezeka kundi lingine la watu wazima mtaani wameingia. Wakaribishwe ni wageni huku Mana walizoea shuleni kubanwa na nyumbani. Wakishaingia chuoni waweza mpangia nyumba nzima ukalala naye mpaka asubuhi Mana before alikuwa anaonja bata anaogopa kuwa atachelewa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Njia Sahihi ya kumpima Bashe ni Exports and Imports katika mazao ya kilimo

    Nchi hii imekuwa na shida sana tunasifia watu kwa jinsi wanavyofanya ziara au kuongea majukwaani, hizi siyo njia sahihi. Tunatakiwa kuwapima kwa matunda. sasa nasikia kila kona watu wanamsifia Bashe ni bora tuweke vigezo sahihi vya kumtazama na hivyo vigezo ni kupima ameleta mabadiriko gani...
  17. Mtini

    JamiiForums Tanzania Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

    Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record. Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na William; alikuwa sahihi kabisa. Nampongeza

    Ukiingia Jamhuri ya Twitter utakutana na Mwanamke Mmoja akilalamika kwenye chombo flani cha habari kuhusiana na suala lake la kuachwa siku ya Ndoa. Ukimsikiliza utagundua William alikuwa sahihi kabisa. Yule dada anaonekana kabisa ni kimeo. Kiukweli nampongeza William alijitahidi sana kumvumilia...
  19. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amechagua njia sahihi kushusha bei mafuta

    RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza; Wapo waliopendekeza kuondoa tozo mbalimbali kwenye mafuta ili bei ipungue. Ni mawazo lakini msaada wake upo...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

    Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
Back
Top Bottom