Adam255
Member
- Feb 12, 2022
- 34
- 84
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 24 sasa, naishi Tanga na ndipo nilipozaliwa, jina naitwa Adam. Kama nilivyoandika hapo juu natafuta mpenzi sahihi awe anajitambua na kujiheshimu, awe dini yoyote, na awe anatokea hapa Tanga mjini, mimj ni muislam.
NB: Kuhusu hali yangu ya maisha na yake pia tutajuana zaidi tukianza kujuana rasmi asanten
NB: Kuhusu hali yangu ya maisha na yake pia tutajuana zaidi tukianza kujuana rasmi asanten