sahihi

  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

    Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo? Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo: 1. Advanced Maths & Physics (1 teacher) 2. English & Kiswahili (1 teacher). Sifa: Muislamu Jinsia ya kiume Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Marais wa Afrika kufanya Promotions za Birthday Parties zao Redioni na Runingani huku nchi zao zikiwa ni Maskini na Wananchi wao?

    Nasisitiza tena hapa nawaongelea Marais wote tu wa Afrika, sasa Wewe jitutumue kuja Kukurupuka namsema wako nikupe ulichokuwa ukikitafuta kwa huko Kuwashwawashwa Kwako.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha HIV/AIDS (Bioline) kinaweza kutoa majibu sahihi hata ukitumia water for injection (maji ya kuchanganyia dawa za sindano) badala ya buffer

    Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka sahihi Nakiri ni kweli baadhi ya sample niliwajaribu kuzipima kwa kutumia buffer pia sample izo izo...
  4. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tumetolewa; hatukatai. Umri wa wachezaji wetu uko sahihi?

    Ni katika kujaribu kuwaza na kufikiria nje ya box na mawazo yangu binafsi. Mm siyo mtu wa mambo ya mpira sana lakini kwa hii AFCON nilikuwa nipo macho kuifuatilia timu yangu ya Taifa kwa kila hatua. Kitu nilichokigundua kwa macho na akili na umakini niliokuwa nao kwa namna wachezaji wetu...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mtangazaji wa TBC Taifa kutamka haya Hewani?

    "Tafadhali ewe Mtanzania fanya kila uwezalo na kama una Babu yako Mganga wa Kienyeji mwambie asaidie kwa Ndumba ili Taifa Stars iifunge Zambia na hata tulicheza na Congo DR tushinde pia" Kuna Mtu miaka ya nyuma aliwahi kuniambia kuwa kama kuna Media ambayo Watumishi wake Wanarogana / Wanapigana...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maelezo ya Baba Mwita na kuwepo kwa kipindupindu jijini DSM RC yuko sahihi kutumia jeshi JWTZ

    RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nimdhamini au niachane naye?

    Ni mtu ambaye miaka 10 tulikutana katika harakati za utafutaji kazi. Tukapoteana tulionana mjini Dar mwaka jana. Mwaka jana kibarua chake kiliota nyasi. Si unajua sekta binafsi mistake ndogo tu wanapita na wewe. Familia ina hitaji kula, umri umeenda kahangahika kaamua aende kampuni ya Uzinzi...
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Amrouche Alikua Sahihi 100% Morroco Wanabebwa Sana hawana huo uwezo Saiv, TFF Ya Karia Hamjui Mpira

    Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana, Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha. Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
  10. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Tafsiri isiyo sahihi husababisha upotoshaji wa taarifa

    Tafsiri ya lugha inaweza kuwa ngumu na kuweza kusababisha upotoshaji wa taarifa kulingana na utofauti wa lugha, na uwezo wa mtafsiri. Wakati mwingine, maneno au misemo inaweza kuwa na maana tofauti katika lugha nyingine, na mtafsiri anaweza kushindwa kuchagua maneno yanayofaa au maneno sahihi...
  11. Clepatina

    JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  12. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
  13. Napoleon the second

    JamiiForums Tanzania Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

    Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete. Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda. Kwa mujibu wa...
  15. safuher

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo...
  16. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Mambo vipi? Nipende kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu Mimi ni kijana nina 26 years old bado sijajipata nina shida moja. Mzazi(mama) anapenda sana kusisitiza kuhusu kuoa kwamba wakati ni huu na anapenda kusindikiza na mifano kwamba vijana wengi wa umri wangu wana Familia kwann mm bado...
  17. Pleasepast

    JamiiForums Tanzania Tabia ya mke kusambaza habari kutoka ndani kwake, je ni sahihi?

    Habari za siku wapendwa. Kwenye maisha watu tunatofautiana sasa wapo watu wengine wana ile tabia ya kusambaza jambo mpaka kwa watu ambao hawahusiki kabisa je.? Ni njia gani itumike kuishi nao au kuwathibiti yani iko hivi tuseme unaishi na mke wako au mume wako lakini ikitokea mmepishana kauli...
  18. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

    Inaonekana dereva wa polisi alimuacha Afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana. Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?
  19. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kadri umri unavyoenda uwezekano wa kupata MKE/Mume sahihi unapungua

    Vijana oeni mapema Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka. Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs Umri WA wanaume single broken ni 35+ Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuolewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba. Manake kashaumizwa sana hadi...
  20. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Ipi ni RAM sahihi kwa hii PC

    Habari Nimeingia kariakoo kununua RAM nimemwambia muuzaji nahitaji ram DDR3 GB 8 ananiuliza tena unataka ipi PC3L au PC3 nikabaki mdomo wazi nikamwambia hebu nipe elimu kidogo tofauti ni nini kati ya hizo mbili kaniambia PC3L ni latest inaweza isisome kwenye PC za zamani na PC3 ni ya kitambo...
Back
Top Bottom