Ni nini kitakuwa sahihi zaidi mm kusomea?

Mr Everything

Member
Mar 7, 2024
5
1
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
 
Wewe unataka kuwa nani huko mbeleni?
 
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Nenda chuo
 
Naombeni ushauri katika hil
Piga got omba mungu akujulishe wito wako ,wazo litakalo kuja moyo cha kusoma kasome hatakama utaona hakina maana kwa sasa lakin amini haitakua rahis hiyo shule tangu utakapoamua kumkabidhi mungu njia zako
 
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo

Unaweza kusoma course ya phamacy
1. Diploma in pharmacy (st. John dodoma)
2. Certificate in Phamacy
3. Basic certificate in pharmaceutical dispensing
4. Medical attendant (M.A)
5. Diploma in sociology ( udom, sauti, n.k
6. Diploma in health management system ( cedha arusha
7. Diploma in health information system ( Chuo cedha arusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom