sahihi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi....VAR ilikuwa msaada sahihi kwa mwamuzi kuamua lile ni goli?

    Habari za asubuhi wakuu...Ni siku nyingine mpya kabisa na matukio hayakosekani wadau wa soka...twende kwenye mada Moja.....VAR Sio msaada sahihi wa kuamua kama mpira umevuka mstari wa goli au la! Pili....Teknolojia sahihi ya kuamua kama mpira umevuka mstari wa goal Inaitwa goal line decision...
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kitabu cha Mhubiri ndio uhalisia sahihi wa maisha

    1. Mwandishi anaonekan ni mtu aliekua na wadhfa na mali, wapo wanasema mwandishi ni Mfalme Suleman ila wengine wanakataa. 2. Pamoja na mafanikio hayo, anaonekana amejawa na msongo wa mawazo na alie "disappointed"sana, mara nyingi husema " ...ni sawa na kufukuza upepo." 3. Anaonekana hana imani...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo ni kiungo sahihi cha utendaji UVCCM

    Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini. kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo uliomuongoza Dkt. Samia Suluhu Hassan kumchagua Mdada Mtanashati Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuongoza jumuiya...
  4. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
  5. 713

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi sasa wa kurudishwa kwa mali kale yetu iliyopo Ujerumani

    Habari za majukumu na amini sasa hivi ni wakati sahihi wa kurudishwa kwa Mali kale yetu mifupa ya dinosaur ambaye alipatikana katika safu ya vilima Vya Tendenguru Lindi (1907-1913) ambayo kwa miaka hiyo ilipelekwa ujerumani kwa kuwa hatukuwa na sehemu ya kuhifadhi mifupa hiyo. Sasa hivi kama...
  6. Whackiest

    JamiiForums Tanzania Nani sahihi wanajukwaa Kuoa

    Ni natumai wanajukwaa mko wazima kabisa ninakipengele hapa ninahitaji mawazo yenu nipone mwenzenu .Nimebahatika kuwa na mahusiano na mabint watatu kihistoria wakwanza niliachan nae alinisaliti taarifa zikatwanyika hata mahali napofanya shughul huyu aliitwa joyce ni mtu wa maarifa ya utafutaji...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
  8. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Makonda alikuwa sahihi sana kwao

    Kwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi. Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa. Sijajua kwa sababu gani kaondoshwa na yupi ataletwa kuzimba pengo. Aliifufua CCM wenda kuliko hata...
  9. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kupeleka watu walioshindwa katika mikoa ya kimkakati kama Arusha na Songwe

    Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma. Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
  11. Ndata

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Habari wanajukwaa. Kumeibuka mtindo kila mtu anapopata nafasi ya kuongea kumsifia Rais hata kwa yale ambayo Rais hausiki wala hayajui. Mfano Mrisho Ngasa alipoalikwa Kwenda Ivory Coast kama Legendary kipindi cha AFCON alipohojiwa alianza kumshukuru Rais Samia. Binafsi yangu naona hii ni aina...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Utafutaji wa pesa unaathiri afya za watu, mfumo sahihi wa maisha unabadilika

    Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka. Imagine zamani mtu anatoka home saa 12 asubuhi halafi anarudi 5 kutoka shamba, anapata muda na familia yake, muda wa kupata...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mwanamke akikupa pesa wivu unaongezeka?

    "Mwanamke akikupa pesa yake wivu wake unaongezeka maradufu, na anataka uwe wake peke yake, yaani ni kusema achilia mbali kutaka kumiliki moyo wako lakini pia anataka na roho yako. "Pesa ya mwanamke ina masimango sana, ukizoea kupewa pesa na mwanamke kubali kudharauliwa."
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

    Kama una date dem wa kinyakyusa hakikisha hatokei Kyela. Wanawake wa Kyela wana viburi sana alafu wanabishana sana, anaweza kukufokea hadharani ukabaki unajilaumu kwanini ulioa. Alafu wanapiga juju hao balaa, unaweza jikuta unamtumikia.
  15. Doto12

    JamiiForums Tanzania Huyu yupo sahihi kweli?

    Je, yuko sahh au mimi ndiyo sijui??
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    WANAWAKE WANAJUA NI MUDA GANI SAHIHI WA KUMSHINDA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanamke yeyote anayejifanya mjuaji kikawaida huwa na akili ndogo. Ni wengi huishia kwenye kushindwa vita nyingi kwa sababu ya upeo mdogo. Kwa sisi Watibeli, tunajua moja ya mbinu za Watu Smart hasa...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kutumia ugaidi wakati unapopigania "uhuru?"

    Upo vitani. Unapigania "uhuru" au "Haki" yako. Adui unayepambana naye ni mwenye nguvu sana. Ukisema upambane naye hummudu. Ni sahihi kutumia ugaidi kupambana naye. Hapa ugaidi namaanisha kupiga watu na vitu vyake visivyo vya kijeshi? All is fair in war?
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
  19. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

    Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada...
  20. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa katika elimu. Tahasusi mpya ni sahihi na zinapaswa kuongezwa zaidi

    Habari za wakati huu; Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
Back
Top Bottom