sahihi

  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa katika elimu. Tahasusi mpya ni sahihi na zinapaswa kuongezwa zaidi

    Habari za wakati huu; Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

    Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ule usemi wathibitishie adui zako kuwa hawako sahihi ni usemi wa kujitesa na utumwa tu

    Katika ubatili niliojifunza katika Dunia hii ni pamoja na kujitahidi kufanya mambo ili kuwaoneshea wengine kuwa wanavyosema au wanavyonitazama ni tofauti na nilivyo. Huu nao ni utumwa mkubwa sana kwa sababu inamfanya mtu kuishi kwa sababu ya wengine badala ya kuishi kwa ajili yake mwenyewe...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyepigwa Kigoma kisa Kamchape ulikuwa wakati sahihi kuonesha nguvu za Mungu sio kupiga simu Polisi

    Kwema Wakuu! Tukio la kupigwa kwa mchungaji na wanakijiji kisa Watoa uchawi maarufu kama Kamchape limezidi kudhihirisha dini na uchawi kwa sehemu kubwa ni utapeli. Hakukuwa na sababu ya Mchungaji kuwazuia hao waganga kuja kutoa Uchawi. Zaidi hakukuwa na sababu hata moja ya kupiga simu polisi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

    NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je Kindamba ni mtu sahihi UDART? Ana exposure yoyote kuhusu sekta ya usafirishaji?

    Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni. Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Je, Tanganyika inaweza kuendelea bila Zanzibar, and Vice versa

    Tanganyika inaweza kuendelea bila Zanzibar! Au Zanzibar inaweza kuendelea bila Tanganyika!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini kitakuwa sahihi zaidi mm kusomea?

    Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college) Naombeni ushauri katika hilo
  9. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania NIMR na Wizara ya Afya mmeshindwa kabisa kufanya tafiti na kupata tiba sahihi ya tatizo la macho kuvimba na kuwa mekundu?

    Kuna haja gani ya kuwa na Wizara ambayo heileti solution? Kama hadi sasa hakuna muongozo wa Wizara kuhusiana na tatizo hili, matokeo yake watu wanajipaka tuu madude yasiyoeleweka na kupelekea wengine kupata upofu. Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu! Hii ni...
  10. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  11. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  12. imhotep

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kuhusu Kongo DR

    Msikilizeni Mwalimu enzi za uhai wake kwenye Issue ya Wanyamulenge ambayo mpaka leo Viongozi wa Kiafrika wamekosa solution zaidi ya kuuwa Watutsi huko Kongo https://youtu.be/lN4xauSXN7o?si=LpHu_r6GTALFayCw
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

    Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je Rais wa Kenya W. Ruto yupo sahihi kwa hili?

    "Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike...
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Tafadhali jamani aisee! Kwa mujibu wa ukoo wa marehemu mimi ndiye mrithi sahihi wa mke wa marehemu

    Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa...
  17. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

    Taifa lipo katika msiba, huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano, je mpo sahihi? Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa. TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO Pia soma - Mbowe...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?

    Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje. Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutumia 'ninyi' badala ya 'nyinyi'?

    Vitabu vingi vya sarufi vinadai kwamba badiliko hili ni sawa lakini siamini Wakuu wa lugha ya kiswahili, lahaja ipi inaruhusu "ninyi"?
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu umri sahihi wa mtu kuitwa kijana

    Binafsi mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Huu uzi umeandikwa na kijana. Pamoja na kujitambulisha ila kama kichwa cha habari kinavyosomeka imefika sehemu kama taifa tunahitaji mjadala kuhusu upi ni umri sahihi wa mtu kuendelea kuitwa kijana tofauti na hali...
Back
Top Bottom