Mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu; nataka kumpiga risasi

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,416
30,932
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
 
Umekuja kutuambia hapa kuwa unamiliki binduki siyo?

Haya
 
Mkuu madereva wa daladala wanahitaji huyo mbwa wafanye mishkaki wapate kuwa wakali zaidi.🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
Put down that canine!

Acha kulialia wewe bwana mdogo timiza ahadi yako ya kulipiza kisasi kwa kuwaibia TV 1988. Usipo Fanya hivyo sasa nakuja kuwaibia flat screen yenu 65 inch na vitablet. Lazima unimalize kama ulivyoahidi
 
Roho mbaya inakusumbua umuue ili iweje?
Hafu nyie wenye nyumba kukaa na wapangaji huwa mna gubu Sana.
Huyo mbwa Hana shida ana tatizo la kisaikolojia inatakiwa umtaftie mtaalamu na huku. Bongo sidhani Kama wapo
Kweli madam aagize nje tuu huyo mtaaramu mambo ya kuanza kupiga chuma tusije shituana milio ya risasi kumbe akawa jirani yangu. What goes around comes around.
 
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
Huyo mbwa ulisha mpiga risasi za kutosha lakini hakufa, vumilia tu
 
Kuna jamaa kwenye kipindi cha mali hai kinarushwa na Azam tv (UTV) ukiwasiliana nae anaweza kutatua changamoto ya mbwa wako. Kabla haujampiga chuma wasiliana nae
 
Roho mbaya inakusumbua umuue ili iweje?
Hafu nyie wenye nyumba kukaa na wapangaji huwa mna gubu Sana.
Huyo mbwa Hana shida ana tatizo la kisaikolojia inatakiwa umtaftie mtaalamu na huku. Bongo sidhani Kama wapo
Kwa hiyo unamaanisha ampandishe ndege?
 
Namfahamu yule jamaa ila makazi yangu yapo mkoani.
Kuna jamaa kwenye kipindi cha mali hai kinarushwa na Azam tv (UTV) ukiwasiliana nae anaweza kutatua changamoto ya mbwa wako. Kabla haujampiga chuma wasiliana nae
 
Yuko stressed, kama mazingira yanaruhusu nanda mkafanye zoezi kama kuwinda porini.

Lakini pia angalia mabadiliko yoyote kwenye chakula au mazingira anayoishi. Kama ni jike inawezekana anahitaji naniliu hivyo basi fanya utaratibu
 
Back
Top Bottom