sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu P.I.D, dalili na madhara yake

    P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease. P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS). Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro. Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
  3. JamiiForums Tanzania Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari: 1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara) 2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana) 3. Hatuna vifaa vya kisasa (kwani vifaa vinashushwa toka mbinguni?) 4. Hatuna watendaji wenye...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali Iwaangalie Watoto Waliositisha Masomo kwa Sababu ya Vita Ukraine

    MBUNGE JANEJELLY NTATE - SERIKALI IWAANGALIE WATOTO WALIOSITISHA MASOMO KWA SABABU YA VITA UKRAINE 🇺🇦 "Waziri wa Fedha umekubali kupunguza mipaka ya Utawala wako, kukubali Idara ya Mipango irudi kuwa tume ya Mipango. Rasilimali watu iliyopo pale walikuwa hawatumiki ipasavyo sasa hawa Wataalam...
  5. JamiiForums Tanzania Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

    Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini. Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati...
  6. JamiiForums Tanzania Zipi sababu za vijana wa sasa kukumbwa na mvi, hasa za ndevu?

    Wasalam wadau. Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana kumi wa umri kuanzia 30 Hadi 40 vijana 6 au 7 Wana mvi kidevuni (white hair). Sasa baada ya MAELEZO...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Inapotokea njaa nchini sababu

    Baada ya kuona ugumu wa maisha nchini, Kama Mtanzania, Mzalendo, nikaamua kuingia mitandaoni kutafuta na kujua sababu yake ni nini? Nilipopitia baadhi ya mitandao ya kitaifa na kimataifa. Nimekuta habari za sababu ya kuwepo kwa njaa katika baadhi ya maeneo nchini. Sisemi kwasasa kuna njaa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa waliotunga sheria Hii; Kama Rais ni mzalendo na muadilifu ni sababu gani ikawepo kinga ya kutoshtakiwa?

    KWA WALIOTUNGA SHERIA HII; KAMA RAIS NI MZALENDO NA MUADILIFU NI SABABU GANI IKAWEPO KINGA YA KUTOSHTAKIWA? Anaandika, Robert Heriel Moja ya sheria inayonifanya nione nchi yetu bado hatuko serious ni sheria inayomkingia Kifua Rais KUTOSHTAKIWA. Kwa kweli sheria Hii sio tuu ni ya ajabu Bali ni...
  9. JamiiForums Tanzania BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

    Habarini wana jamvi. Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story. Ilikua hivi, miaka hio...
  10. JamiiForums Tanzania Niliingia CCM sababu ya Magufuli. Nachana kadi muda sio mrefu

    Boss ashampooo mtoto wa mjini basi nikiwa mwaka mwisho pale BOT kwa pembeni chuo cha IFM ndio kipindi Magufuli nae alikuwa anaingia madarakani toka akiwa waziri nilitamani aje kuwa raisi na ndoto yangu ikatimia akawa raisi 2015 Alivyoanza kwa kasi yake tu mimi na rafiki yangu tulijiunga CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi. Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha. Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wengi wameonewa sababu ya Swali hili la Polisi

    Kuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi 'Unamuhisi Nani'.
  13. JamiiForums Tanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu. Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake tuelezeni sababu zinazowafanya mtubambikizie waume zenu watoto wasio wetu!

    Wanawake mnatupasua sana kichwa mara matumizi mara kasheshe na vituko kibao lakini kubwa zaidi mmetubambikizia watoto wasio wetu, wengine ndio kwanza mpo kwenye huo mpango wa kuwabambikizia wenzi wenu. Mimi nipo kwenye tatizo la mke wangu kuwa na matumizi makubwa nikajua labda mimi ndiye nina...
  15. JamiiForums Tanzania Ninafuraha Kwa sababu nimezaa Wawekezaji Wawili na Nchi

    Habari Mkuu! Ilikuwa ndoto yangu kubwa kuwa mwekezaji mkubwa katika taifa langu. Ndoto hiyo ya muda mrefu sasa inaenda kutimia. Miaka miwili iliyopita nilikuwa kwenye Project moja ambayo inaendeshwa na Taifa la Marekani. Hapo ndipo nilikutana na pass ya wazi kabisa Baada ya kuonana na Skyler...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Sababu (10) tata za kisheria uuzwaji wa Bandari ya Tanganyika

    UTANGULIZI: Bila kugusia maudhuni yalivyoandikwa, au kukosoa kilichoandikwa, nimeandaa sababu 10 tata za kisheria ambazo zinatambainisha kwa nini mkataba wa uuzaji wa Bandari ya Tanganyika ni batili na ni wa aibu kwa nchi ambayo inawasomi wengi wa sheria; Katika sheria za kimataifa za...
  17. JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya Watu (hasa wana Simba SC ) Wenzangu Kulalamikia Tuzo ya Beki Bora aliyopata Dickson Job

    Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job? Dickson Job ambaye Kacheza vyema Beki wa Kati, Beki za pembeni ( Kulia na Kushoto ) na Kazimudu villivyo unaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe analaumiwa bila sababu

    Mbowe amesema rais huyu mwenye asili ya Unguja anauza ardhi ya Tanganyika nyingi kuliko marais ambao asili yao ni Tanganyika. Sasa amekosea nini? Siyo hivyo tu, rais huyu ambaye hakuchaguliwa na wananchi anauza mali za nchi nyingi kuliko rais waliochaguliwa na wananchi. Huyu ni rais ambaye ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amvaa Nape amwambia aache kutisha watu. Kuuza bandari isiwe sababu ya kutisha watu

    Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Afrika ukiona Chama au Kiongozi amedumu madarakani ni kwa sababu anauza maliasili za nchi kwa mabeberu

    Nihakikishie ulinzi na kupita kwenye uchaguzi tutayajenga. Ndio sababu hata watawale miaka 1000 faida zitokanazo na Rasilimali za Nchi hamtaziona kamwe. Mikataba ya Siri, vikao vya siri, chaguzi haramu, mikopo ya kumwaga. Ili kuepuka mtego huo Kiongozi au Chama chake ni lazima kichague njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…