matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,586
- 15,370
Kutokuwa tayari kula na watu.
Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk.
Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo faida na mimi nipata kiasi flani, hata pesa ya marketing ntashiriki. Hii ingemsaidia kukua kwa kasi.
Baada ya hapo dogo akachimba, ananikwepa. Yeye anaamini kutoboa kwa kula kila kitu peke yake. Hataki kula na watu.
Hii tabia nimeiona kwa madogo wengi. Sio waaminifu. Wanafikiri mafanikio ni kujikusanyia kila kitu wao bila kutoa ili mwingine akipata na wewe unapata zaidi.
Poor people compete
Rich people Cooperate.
Je unadhani kwa nini madogo na vijana wengi wanastrago sana kutoboa wakati vijana wenzao china us na baadhi ya nchi africa magharibi wanatoboa kwa kasi.
Maoni yako.