sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Watu wengi wana mapepo ya kimyakimya na yenye kelele kwa sababu ya Miziki na nyimbo wanayosikiliza

    Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki. Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa roho wasafi na roho wachafu. Ndio maana miziki ya ibada ikipigwa kwa utukufu malaika hushuka na pepo...
  2. Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

    Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka. Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana...
  3. Kusema mtoto kulelewa na Bibi na Babu ataharibika ni Uongo kwa sababu tupo wengi ambao hatujaharibika

    KUSEMA MTOTO KULELEWA NA BIBI NA BABU ATAHARIBIKA NI UONGO KWA SABABU TUPO WENGI AMBAO HATUJAHARIBIKA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Katika vitu najivunia na kumshukuru Mungu katika maisha yangu ni kulelewa na Bibi na Babu. Kwa kweli Mungu kwa hili namshukuru sana. Ulikuwa mpango mzuri...
  4. R

    Waliomkimbia Magufuli na kujenga wazo la kurudi baada ya Samia kuwa madarakani, wamefuta wazo la kurudi sababu as time goes on tyranny rule dominates

    Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent! Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa...
  5. Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Hebu leo tushirikishane Kwanini wengi wanaona kwenda kupiga kura ni kupoteza Muda?
  6. Wakulima wa Tanzania hawapo huru kwa sababu ya siasa mbovu za CCM

    Ero sobhai. Takwenya kokoo wote humu? Mwangaruka wabhabha na mamayo Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii. Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama Cha Mapinduzi ili kukisaidia kisalie madarakani na kuwafanya Watanzania kuwa manamba wa kudumu wa...
  7. Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

    Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi. Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya. Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa...
  8. R

    Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

    Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue! 1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness 2. Mnaficha ugonjwa Yatajulikana maana huko...
  9. Anataka kuacha Ndoa kwa sababu hizi

    Bwana MAPESA amesema biashara yake imeshuka baada ya ndoa. Bwana MAPESA anamiliki maduka makubwa matatu ya biashara ambapo bidhaa za nyumbani na mahitaji mengine hutolewa, biashara ambayo alikuwa akifanya akiwa mtu mmoja(, bila kuwa na ndoa Kabla). Biashara Ilikuwa Inaendelea vizuri sana Kwa...
  10. S

    Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

    Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope. Serikali imenunua magari 270 ya...
  11. Zipi sababu za mgawo wa umeme usioisha Tanzania

    Wanajukwaa,habari za wakati huu baada ya harakati za kutwa nzima ama za utumishi wa jamii, kujitafutia mlo wa siku ama kuzitafutia familia mahitaji ya kila siku. Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu tuu buheri wa afya. Pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto mbalimbali, iwe ni za kiafya, kijamii...
  12. M

    Kama Taifa tunaitaji kujua sababu ya Mgao wa Umeme hata kipindi hiki cha mvua

    Kama Mtanzania nayeguswa na jinsi wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme ususani kwenye sekta ya wajasiliamali wadogo ( Welding/wanausika na aluminiam, viwanda vidogo vya kushona, saluni za kike/kiume, wachuuzi wa samaki, na wengine kibao) inatia huzuni kwa kweli. Unajiuliza kweli hii shida...
  13. Chid Benz kama Case study: Wasanii wanamichezo wanarogwa sana

    Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ( KIZARAMO : Kulonda = kutaka). Hapo Inspekta alikuwa...
  14. Mahakama zisituingilie ndoa za kikristo, ni kifo ama usaliti ziwe sababu za kuvunja ndoa ama kuoa tena, adhabu ya kukiuka iwe kifungo cha maisha

    Ndoa tumekubaliana kufunga ya kikristo na tumekula kiapo ni mpaka kifo ama moja akisaliti, iweje tukimbilie mahakamani kuzivunja kwa sababu zilizo nje ya kiapo ? Nashangaa mahakama zinaingilia sana mambo ya dini za watu badala ya kuyaachia makanisa kusolve ndoa za kikristo. Sheria za kanisani...
  15. R

    Millard Ayo kashapotea kwenye ramani ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa zisizotaka usawa

    Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe. Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo. Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
  16. Sababu inayopelekea Mbegu za uzazi kuchanganyika na damu

    Sababu zinazopelekea mwanaume kutoa mbegu ambazo zimechanganyika na damu (hematospermia). Sababu inayojulikana zaidi ni kutokana na uchunguzi wa tezi dume (Prostate biopsy) ambapo inahusisha kuondolewa kwa sampuli ndogo za tishu ili kuchunguza saratani ya tezi dumu. Sababu zisizo za kawaida ni...
  17. Marekani alipigwa na Vietnam,China kwa sababu ya spirit ya mapambano Israel ana kazi ya kupambana na watu wenye spirit ya mapambano.

    Katika vita jambo la msingi askari awepo vitani anapaswa kuwa nalo ni ile spirit ya kupambana dhidi ya adui kwa hali yoyote ili amuangamize. Hii kwa mifano michache nayo ifahamu ni pamoja na changamoto aliyokutana nayo marekani pale alipokuwa ana pigana na Vietnam marekani alitandikwa na...
  18. Hamas waeleza sababu za kuchelewa kuachiwa kwa kundi la pili la mateka

    Wanaukumbi. 🛑 Kiongozi wa Hamas Osama Hamdan, katika mahojiano na Al Mayadeen: • Kuna ukiukwaji uliofanywa na Israel katika kutekeleza usitishaji vita, baadhi ulitokea jana na ulirudiwa leo. • Hamas waliamua kusimamisha kuachiliwa kwa kundi la 2 la wafungwa, tunawasiliana kushughulikia na...
  19. A

    Zipi sababu za waume wengi kufa mapema kuliko wake zao?

  20. Umenasa kwenye mtego kwa sababu umejichanganya

    Kuna wakati unahisi mambo hayaendi, hasa katika masuala ya fedha na kipato. Unaona unapambana kwa bidii lakini maendeleo ni kama vile hayaonekani. Unahisi umerogwa siyo? NATAKA kukwambia UKWELI kwamba ni kweli kuna mtu anakuchezea, lakini mtu huyo si mwingine, bali ni wewe mwenyewe. Najua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…