matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,586
- 15,370
Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki.
Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa roho wasafi na roho wachafu. Ndio maana miziki ya ibada ikipigwa kwa utukufu malaika hushuka na pepo wachafu hukimbia.
Ikipigwa kiibirisi Malaika huondoka na majini hutamalaki.
Mganga ili apandishe pepo na mizimu huranguliwa na mapambio na ngoma za kijini. Daudi ili amtoe pepo Mfalme Sauli pepo alipiga chomo cha Muziki kiutukufu pepo akala kona.
My take...
Miziki ya kusisimua, iliyojaa midundo mikali, yenye maneno uanayosifia watu, vitu na mambo machafu bila kujali zinapigwa kanisani au msikitini au disko au au masikioni kwa headphone au masterbed room au sebuleni au popote ni mwaliko wa mamilioni ya majini kuja kuwavuvia wanenguaji na wafuatiliaji.
Kuwa makini na chaguzi zako za kusikiliza. Unachosikiliza na kukiimba kinadetermine unavuviwa na mamilioni ya mapepo au uwepo wa malaika wasiohesabika.
Hi hayo tu.