sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

    Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini? Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

    Crack ni madawa ya kulevya yanayotengenezwa kwa kiwango kidogo sana cha Cocaine na kuchanganywa na Baking powder au amatriptayne (ATM). Amatriptayne (ATM) ni dawa ambazo ukimeza lazima ulale. Hizi hapa sababu chache zilizopelekea niache. Tatizo la kusahau. Hili tatizo lilikuwa likinipata...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malezi - Sababu nne kwa nini watoto wanahitaji malezi ya baba pia

    Ripoti ya idadi ya watu ya mwaka 2000 huko nchini Brazil ilionyesha kwamba familia milioni 11.2 kati ya familia milioni 44.7 zinaongozwa na wanawake. Nchini Nikaragua 25% ya watoto huishi na mama zao pekee. Mnamo mwaka 1990 huko nchini Kosta Rika takwimu zilionyesha kwamba idadi ya watoto...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujuta mpaka kurudiana na X-wako sababu alikuwa na kitu special?

    Tukiendelea kusubiri list ya watia nia watakaopitisha, unajua wanaume tunapenda kula mboga za namna mbalimbali. Sasa kipindi fulani nilikuwa na demu wangu tulizoeana na tulikuwa na mengi tumepanga kufanya maishani. Katika harakati za maisha nilipata kazi mkoa fulani ambayo itanichuklua siku...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya Watanzania kuidharau Kenya

    Mimi ni Mtanzania asilimia mia ila kutokana na mitihani ya maisha, nikipata fursa (bhati) ya kusomea Kenya kutoka primary at Kisii-gesima _Mosobeti way, Dorcas Academy, Secondary at Nyari Sstate, Karura SDA, uni mku theka. Ninaijua Kenya vzuri kwa miaka na mijukuu. Sikatai Kenya ipo mbali sana...
  6. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

    Lazima ipo sababu tena inahitaji hatua za haraka. Leo kuna darasa linaungua huko Mivumoni Islamic
  7. JamiiForums Tanzania Why did you disown your brother/ Ni sababu ipi iliyokufanya uvunje undugu na Kaka yako wa tumbo moja?

    Wataalamu wa mambo wanasema ' Words are more powerful than blood" Ndio maana if your biological father decree and declare that ' from now Ur no longer his son then you become as good as a stranger to him". Nakumbuka Kuna Jamaa alikuwa disowned na Baba ake mzazi way back in 2001. NI hivi Jamaa...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Sisi wanadamu hasa Waafrika hatuendelei kwa sababu tunapenda kushindana

    Mwanadamu anazo dhambi NNE kuu ambazo zinamtesa katika maisha yake mojawapo in kupenda kutawala au kupenda heshima. Dhambi hii huleta utengano katika jamii na matunda ya dhambi hii katika jamii ni chuki ,vita nk. Asilimia ndogo ya watu hatupendi kutafuta suluhu au kupenda kukaa mezani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu kuu za mafuriko ya watia nia CCM

    Mwaka 2019 rafiki yangu wa karibu alinishauri ifikapo 2020 nigombee ubunge. Baada ya kukataa ushauri wake alisema ndani ya CCM hususana serikali ya awamu ya 5 hata ukishindwa ubunge unaweza fikiriwa nafasi nyingine za uteuzi kama ukurugenzi, ukuu wa mkoa, wilaya na makatibu tawala mikoa na...
  10. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli: Ubunge umekuwa rahisi na usiotisha tena. Kuna wa kulaumiwa au kupongezwa?

    Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Unyonge isiwe sababu ya kuwanyima watanzania haki zao! Unyonge wenyewe, umesababishwa na mafisadi wa CCM!

    Wanajamvi, Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu... Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, bila ya kujali ni chama gani kipo madarakani, basi wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania hii ndio sababu ya kwanini tuliandika katiba mpya, mnamchosha rais na kero zenu kwenye misafara yake

    Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuwe wakweli, wapinzani hawana mgombea urais mwenye sifa ndio sababu wanamsubiri Membe

    Wapinzani katika ujumla wao hawana mgombea yoyote wa urais mwenye sifa za kumzidi Benard Membe. Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 Membe alishika namba 5 kwenye kura za maoni CCM akimwacha mbali kabisa Lowassa na wagombea wengine 37. Ikumbukwe pia Membe ndio alikuwa wa mwisho kwenye ile 5 bora akiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu kuu kwa nini timu ya taifa ya Argentina haina mtu mweusi

    Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?. Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la Amerika Kusini ndiyo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama sex ingekuwa sababu ya ndoa...

    If SEX can make a man, marry you then all prostitutes would be married. A man commits where he has PEACE. Be his PEACE & he'll run to you be his WAR & he'll run from you
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wengi wasomi wamepata moyo kugombea kwa sababu ya uimara wa Magufuli

    Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama. Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha, sababu ni vikwazo vya Marekani

    Serikali ya Uingereza inategemea kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha. Mwezi January mwaka huu serikali ya Bw. Boris Johnson iliipa huawei kandarasi ya kutengeneza mfumo wa 5G ndani ya Uingereza kwa baadhi ya sehemu, kwamba ingeshiriki kwa 35% kuunda mfumo wa 5G na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanza TV waitwa na TCRA kujieleza kwanini wasifutwe kwa kuchapisha habari ya Ubalozi wa Marekani juu ya COVID 19

  19. JamiiForums Tanzania Sababu ya umaskini Afrika sasa ni dhahiri

    Naomba kutumia mifano ya vijana wawili; Esau na Yakobo Esau alikuwa mwindaji na Yakobo alipenda kukaa nyumbani (mfugaji, mkulima) • Esau anategemea kuamka asubuh kwenda kutafuta chakula(kuwinda), bila kutoka siku hiyo anashinda na njaa. Tatizo lake sio kwamba ni mvivu, hapana tatizo lake ni...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari kumisi (Engine Misfire), Sababu zake na baadhi ya solutions zake

    Tatizo la engine kumisi(engine misfire) linaweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile, damaged, worn au bad spark plugs, weak ignition coil, broken, clogged au no current katika injector nozzle, fuel pressure regulator, fuel pump, vacuum leaks, sensors kama MAF, MAP, O2, IAT, ECT n.k. In...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…