Uchaguzi 2020 Tuwe wakweli, wapinzani hawana mgombea urais mwenye sifa ndio sababu wanamsubiri Membe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Wapinzani katika ujumla wao hawana mgombea yoyote wa urais mwenye sifa za kumzidi Benard Membe.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 Membe alishika namba 5 kwenye kura za maoni CCM akimwacha mbali kabisa Lowassa na wagombea wengine 37.

Ikumbukwe pia Membe ndio alikuwa wa mwisho kwenye ile 5 bora akiwa karibu na January Makamba.

Kwahiyo endapo Membe atajiunga CHADEMA basi atakuwe ndiye mwenye sifa za juu kuliko watia nia wote na itakuwa hamna namna zaidi ya kumpisha aweze kumsindikiza Dr Magufuli kuelekea Ikulu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Iv nawewe unawezamfananisha magu na Lissu? Mbona ni vitu viwili tofaut kabisa uwezo wa Lissu kiuongoz ni mkubwa sana
 
Wapinzani katika ujumla wao hawana mgombea yoyote wa urais mwenye sifa za kumzidi Benard Membe.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 Membe alishika namba 5 kwenye kura za maoni CCM akimwacha mbali kabisa Lowassa na wagombea wengine 37.

Ikumbukwe pia Membe ndio alikuwa wa mwisho kwenye ile 5 bora akiwa karibu na January Makamba.

Kwahiyo endapo Membe atajiunga Chadema basi atakuwe ndiye mwenye sifa za juu kuliko watia nia wote na itakuwa hamna namna zaidi ya kumpisha aweze kumsindikiza Dr Magufuli kuelekea Ikulu.

Maendeleo hayana vyama!
mbona nasikia Chadema kuna candidates 11 tayari? au nimesikia vibaya?
 
Apa nawaza nani atapewa ridhaa maana kuna lissu, membe, na mbowe, na CDM watampa membe ndo mkali namwonea huruma lissu arudi tu singida agombee ubunge.
 
Wapinzani katika ujumla wao hawana mgombea yoyote wa urais mwenye sifa za kumzidi Benard Membe.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 Membe alishika namba 5 kwenye kura za maoni CCM akimwacha mbali kabisa Lowassa na wagombea wengine 37.

Ikumbukwe pia Membe ndio alikuwa wa mwisho kwenye ile 5 bora akiwa karibu na January Makamba.

Kwahiyo endapo Membe atajiunga Chadema basi atakuwe ndiye mwenye sifa za juu kuliko watia nia wote na itakuwa hamna namna zaidi ya kumpisha aweze kumsindikiza Dr Magufuli kuelekea Ikulu.

Maendeleo hayana vyama!

Bado matamanio yako ya kuwa lile jinamizi la ccm, Tundu Lissu asigombee kupitia cdm linakutesa. Ni hivi, Tundu Lisu ndio chaguo letu cdm, huyo Membe kwetu ni carbon copy ya Lowassa. Membe aende ACT, huko ndio bado wanahitaji mazee matapeli ya kisiasa. Ile goli la kujifunga la Lowassa, bado halijafutika kichwani mwetu. Tutampigia kura Lissu hata akiwa gerezani.
 
Back
Top Bottom